-
Mvua na maporomoko ya ardhi yaendelea kusababisha maafa nchini Rwanda
Apr 25, 2018 03:00Serikali ya Rwanda imesema watu wengine 18 wamefariki dunia kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo.
-
SAUTI, Mafuriko yaendelea kuyakumba maeneo yote ya Afrika Mashariki, Rwanda yapoteza watu 42
Apr 17, 2018 12:04Serikali ya Rwanda imethibitisha vifo vya watu 41 waliofariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini humo.
-
Trump aelekeza vita vya kibiashara Afrika, Rwanda yajibu mapigo
Apr 12, 2018 10:18Baada ya kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya nchi za Asia na Ulaya na kupata jibu kali, sasa Rais wa Marekani Donald Trump anaonekena kueelekeza vita hivyo kwa nchi za Afrika.
-
SAUTI. Waislamu nchini Rwanda wapinga vikali hatua ya serikali kupiga marufuku adhana, wasema ni njama za kufunga misikiti
Mar 15, 2018 13:10Kwa mara nyingine tena Rwanda imepiga marufuku ya matumizi ya dhana kwenye misikiti ya Waislamu nchini humo.
-
Kuimarika uhusiano wa Tanzania na Rwanda katika sekta ya uchukuzi
Mar 11, 2018 13:46Hatua hii imefuatia zoezi la kufunguliwa kwa tawi la bandari ya Dar es salaam mjini Kigali Rwanda.
-
Watu 16 wauawa kwa kupigwa na radi kanisani nchini Rwanda
Mar 11, 2018 12:55Kwa akali watu 16 wamepoteza maisha baada ya kupigwa na radi wakiwa kanisani huko kusini mwa Rwanda, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Burundi.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahamia Rwanda kutoka Congo DR
Mar 08, 2018 04:48Wakimbizi elfu mbili na mia tano wa Burundi wameingia katika nchi ya Rwanda wakitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaanzisha sensa ya kuwaorodhesha wakimbizi na kuwapatia vitambulisho
Feb 11, 2018 04:24Serikali ya Rwanda imeanza zoezi la kufanya sensa ya kuwaorodhesha wakimbizi wote wanaoishi nchi hiyo.
-
SAUTI, Mahusiano ya Rwanda na Uganda huwenda yakaharibika kutokana na raia wa Rwanda kteswa Uganda
Jan 31, 2018 15:30Huwenda mzozo wa Uganda na Rwanda ukaingia hatua mpya kutokana na baadhi ya Wanyarwanda kuendelea kutiwa mbaroni na askari wa Uganda na kurejeshwa baadaye nchini Rwanda.
-
Rwanda yasisitiza kuhusu azma ya kustawisha uhusiano na Iran
Jan 19, 2018 04:18Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema nchi yake imekusudia kustawisha uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote.