Kuimarika uhusiano wa Tanzania na Rwanda katika sekta ya uchukuzi
https://parstoday.ir/sw/radio/africa-i41515-kuimarika_uhusiano_wa_tanzania_na_rwanda_katika_sekta_ya_uchukuzi
Hatua hii imefuatia zoezi la kufunguliwa kwa tawi la bandari ya Dar es salaam mjini Kigali Rwanda.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Mar 11, 2018 17:16 UTC

Hatua hii imefuatia zoezi la kufunguliwa kwa tawi la bandari ya Dar es salaam mjini Kigali Rwanda.

Serikali ya Rwanda imesema kwamba inanuia kuongeza kiwango cha bidhaa zake zinazopitia bandari ya Dar es Salaam Tanzania kutoka asilimia 70 ilivyo sasa hadi kiwango zaidi kwa kupitia mkondo wa kati.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi….