Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Polisi ya Rwanda yaanza kumchunguza mkosoaji wa Rais Paul Kagame

    Polisi ya Rwanda yaanza kumchunguza mkosoaji wa Rais Paul Kagame

    Aug 30, 2017 10:57

    Polisi ya Rwanda imesema kwamba inamchunguza Diane Shima Rwigara, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo kwa tuhuma za kukwepa kulipa ushuru na kughushi.

  • Wanyarwanda wamkabidhi tena Paul Kagame usukani wa kuongoza nchi yao

    Wanyarwanda wamkabidhi tena Paul Kagame usukani wa kuongoza nchi yao

    Aug 05, 2017 08:32

    Paul Kagame, Rais wa sasa wa Rwanda amechaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka saba baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika jana kote nchini humo.

  • Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda

    Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda

    Aug 04, 2017 23:15

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Rwanda yameonyesha kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo amehifadhi kiti chake baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo uliofanyika jana Ijumaa.

  • Wanyarwanda wanamchagua rais mpya leo

    Wanyarwanda wanamchagua rais mpya leo

    Aug 04, 2017 00:19

    Raia wa Rwanda leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 6.8 wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo ambalo lilianza jana kwa kupiga kura wanyarwanda wanaoishi nje ya nchi.

  • SAUTI, Wageni waishio Rwanda waisifu nchi hiyo kwa kuwa na usalama wa hali ya juu licha ya nchi hiyo kuwa katika uchaguzi wa rais

    SAUTI, Wageni waishio Rwanda waisifu nchi hiyo kwa kuwa na usalama wa hali ya juu licha ya nchi hiyo kuwa katika uchaguzi wa rais

    Aug 03, 2017 12:06

    Raia wa kigeni wanaoishi nchini Rwanda  wamesema kuwa hawana wasiwasi wa usalama nchini humu huku zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kuanza shughuli ya upigaji kura wa uchaguzi wa rais.

  • SAUTI, Polisi ya Rwanda yamtia mbaroni mkuu wa wilaya kwa kuwazuia wananchi kushiriki mikutano ya wagombea wa upinzani

    SAUTI, Polisi ya Rwanda yamtia mbaroni mkuu wa wilaya kwa kuwazuia wananchi kushiriki mikutano ya wagombea wa upinzani

    Jul 24, 2017 12:21

    Polisi nchini Rwanda inamshikilia mkuu wa wilaya moja kwa tuhuma za kuwawekea vikwazo wagombea urais katika kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea nchini humo hivi sasa.

  • SAUTI, Waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya (EAC) wamewasili Rwanda huku wakionyesha kufurahishwa na maandalizi

    SAUTI, Waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya (EAC) wamewasili Rwanda huku wakionyesha kufurahishwa na maandalizi

    Jul 20, 2017 12:51

    Wangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki,  wamewasili nchini Rwanda huku kampeni za uchaguzi wa rais zikiendelea kila kona nchini humo.  

  • SAUTI, Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zaanza rasmi, Rais Kagame asema hana wasi wasi na ushindi

    SAUTI, Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zaanza rasmi, Rais Kagame asema hana wasi wasi na ushindi

    Jul 14, 2017 12:34

    Nchini Rwanda zimeanza kampeini za uchaguzi wa rais ambapo Rais Paul Kagame wa nchi hiyo ameonyesha kutokuwa na wasi wasi wowote na upinzani wake.

  • Human Rights Watch: Rwanda imewaua watu 37 kwa makosa madogo

    Human Rights Watch: Rwanda imewaua watu 37 kwa makosa madogo

    Jul 13, 2017 23:14

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake kwamba, vikosi vya usalama nchini Rwanda vimewaua takriban watu 37 wanaoshukiwa kufanya makosa madogo madogo tangu mwezi Aprili mwaka jana.

  • SAUTI, Polisi ya Rwanda: Ole wao waandishi wa habari au watu watakaotoa taarifa potofu kwenye kampeni

    SAUTI, Polisi ya Rwanda: Ole wao waandishi wa habari au watu watakaotoa taarifa potofu kwenye kampeni

    Jul 13, 2017 09:38

    Police nchini Rwanda imewaonya wapiga kura na waandishi wa habari kuhusu suala lolote linaloweza kupelekea wao kujikuta kwenye chini ya mkono wa sheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS