Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Al Houthi: Saudia itaangamia ikiendelea kuishambulia Yemen

    Al Houthi: Saudia itaangamia ikiendelea kuishambulia Yemen

    Mar 09, 2021 04:26

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi Yemen amesisitiza kuwa iwapo Saudi Arabia itaendeleza hujuma yake dhidi ya Yemen, uvamizi huo utapelekea kuangamia ufalme wa Saudia.

  • Waziri wa Habari wa Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote pale Saudia

    Waziri wa Habari wa Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote pale Saudia

    Mar 09, 2021 01:15

    Waziri wa Habari wa Yemen amesisitiza kuwa, shambulio la vikosi vya ulinzi vya Yemen dhidi ya Taasisi za Mafuta za Shirika la Aramco la Saudi Arabia ni ujumbe wa wazi kwamba vikosi vya Yemen vina uwezo wa kupiga eneo lolote lile ndani ya ardhi ya Saudi Arabia.

  • Saudia: Aramco na bandari ya mafuta ya Ras Tanura zimeshambuliwa kwa makombora ya Ansarullah

    Saudia: Aramco na bandari ya mafuta ya Ras Tanura zimeshambuliwa kwa makombora ya Ansarullah

    Mar 08, 2021 04:12

    Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imethibitisha kuwa vikosi vya ulinzi vya Yemen vimefanya mashambulio makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani ndani ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Saudi Arabia: Chanjo ya corona ni sharti la kufanya ibada ya Hija mwaka huu

    Saudi Arabia: Chanjo ya corona ni sharti la kufanya ibada ya Hija mwaka huu

    Mar 02, 2021 08:56

    Waziri wa Afya wa Saudi Arabia ametangaza kuwa, kupata chanjo ya virusi vya corona ni sharti muhimu kwa watu wote wanaoazimia kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.

  • Jeshi la Yemen latungua ndege ya kijasusi ya Saudi Arabia

    Jeshi la Yemen latungua ndege ya kijasusi ya Saudi Arabia

    Mar 02, 2021 04:19

    Jeshi la Yemen limetangaza kutungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Saudi Arabia wakati ikiwa katika oparesheni ya kijasusi nchini humo.

  • Afisa wa Umoja wa Mataifa aikosoa Marekani kwa kutomchukulia hatua Bin Salman

    Afisa wa Umoja wa Mataifa aikosoa Marekani kwa kutomchukulia hatua Bin Salman

    Mar 02, 2021 04:09

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Agnes Kalamar amesema ripoti ya serikali ya Marekani kuhusu mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa Saudia ni ya kuvunja moyo.

  •  Michelle Bachelet: Saudia ikomeshe ukatili na ukiukaji wa haki za binadamu

    Michelle Bachelet: Saudia ikomeshe ukatili na ukiukaji wa haki za binadamu

    Feb 26, 2021 23:20

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko yake kutokana na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Saudi Arabia dhidi ya raia wa nchi hiyo.

  • Saudia yazidi kushutumiwa kwa kuvunja haki za binadamu

    Saudia yazidi kushutumiwa kwa kuvunja haki za binadamu

    Feb 21, 2021 00:43

    Dada wa mwanaharakati mmoja wa masuala ya kijamii wa Saudi Arabia ameushutumu vikali utawala wa ukoo wa Aal Saud kwa kuwatesa na kuwakandamiza wakosoaji wa utawala huo wa kiimla.

  • Ansarullah yatoa indhari kwa mashirika ya ndege kutotumia viwanja vya ndege vya Saudia

    Ansarullah yatoa indhari kwa mashirika ya ndege kutotumia viwanja vya ndege vya Saudia

    Feb 11, 2021 04:33

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Asarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Utawala wa Aal Saud unatumia viwanja vya ndege vya Saudia kutekeleza mashambulizi dhidi ya Yemen na kuyatahadharisha mashirika ya ndege kutotumia viwanja hivyo.

  • Abdulsalam: Martin Griffiths ni Muingereza katika joho la Umoja wa Mataifa

    Abdulsalam: Martin Griffiths ni Muingereza katika joho la Umoja wa Mataifa

    Feb 10, 2021 04:18

    Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Yemen, Martin Griffiths, ni Muingereza aliyevaa joho la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS