-
Zarif: Mashambulizi dhidi ya Iran yatasababisha vita kubwa
Sep 19, 2019 22:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Iran iko tayari kujihami wakati wowote ule na kwamba, shambulizi lolote dhidi ya Iran litasababisha vita vya pande zote na kupelekea kuuawa idadi kubwa ya wavamizi.
-
Alkhamisi tarehe 19 Septemba 2019
Sep 18, 2019 20:57Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 19 mwaka 2019.
-
'Kushambuliwa vituo vya mafuta vya Saudia, kunabainisha udhaifu na kushindwa kwa Riyadh'
Sep 17, 2019 07:55Mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya Magharibi mwa Asia amekadhibisha madai yaliyotolewa kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imehusika katika shambulizi dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kusema kuwa, shambulizi hilo kwenye taasisi hizo limeonyesha udhaifu na kushindwa kwa Wasaudi.
-
Baada ya kipigo cha ndege za Yemen, Trump naye kwa mara nyingine awadhalilisha viongozi wa Saudia
Sep 16, 2019 22:46Licha ya kutambua vyema kwamba viongozi wa Saudi Arabia hivi sasa wanapitia kipindi kigumu baada ya pigo walilopata la ndege zisizo na rubani za Yemen katika vituo muhimu vya mafuta vya Saudia, lakini rais wa Marekani haoneshi kushughulishwa na hali hiyo ya viongozi wa Riyadh na amewataka walipie msaada wowote wa kijeshi watakaopewa na Marekani.
-
Mfalme wa Saudia amteua mwanae kuwa waziri wa nishati
Sep 08, 2019 03:16Mfalme wa Saudi Arabia amemfuta kazi waziri wa nishati Khalid Al-Falih na kumteua mwanae kuchukua nafasi hiyo.
-
Wanamgambo wa Saudia na Imarati wazidi kutwangana nchini Yemen
Sep 07, 2019 08:28Baada ya wanamgambo wanaofadhiliwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuimarisha nguvu zao na kuudhibiti mkoa wa Aden hasa baada ya ndege za kivita za Imarati kuwashambulia wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudi Arabia, ugomvi baina ya wavamizi wa Yemen umezidi kuonekana.
-
Waziri wa Ujerumani ayataja mauaji ya kipindi cha ukoloni Namibia kuwa ni "mauaji ya kimbari"
Sep 02, 2019 22:36Waziri wa Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo wa Ujerumani ameyataja mauaji yaliyofanywa na Wajerumani dhidi ya watu wa makabila la Herero na Nama huko Namibia, zaidi ya karne moja iliyopita, kuwa yalikuwa mauaji ya kimbari.
-
Wayemeni watolewa mwito wa kuendelea kukabiliana na "Ukoloni wa Saudia na Imarati"
Aug 25, 2019 07:57Kiongozi wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen Abdulaziz bin Habtoor ametoa mwito wa kukabiliana na kile alichokiita Ukoloni wa Saudi Arabia na Imarati.
-
HRW yakosoa ukandamizaji wa Saudia dhidi ya wahajiri wa Kiethiopia
Aug 16, 2019 23:12Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeeleza wasiwasi wake kuhusu haki ya wahajiri wa Kiethiopia nchini Saudi Arabia na kukosoa ukiukwaji wa haki zao unaofanywa na maafisa wa nchi hiyo.
-
Mwana wa Sheikh Salman al-Ouda: Baba yangu amehukumiwa kifo kwa sababu ya kutaka marekebisho Saudia
Aug 14, 2019 07:47Mtototo wa kiume wa mwanazuoni na msomi maarufu wa Saudi Arabia, Sheikh Salman al-Ouda anayeshikiliwa katika korokoro ya nchi hiyo amesema kuwa, baba yake anakabiliwa na kifo baada ya kutoa wito wa kufanyika mageuzi nchini Saudi Arabia.