-
Jeshi la Saudia lashambulia ngome ya wanamgambo wa UAE mjini Aden
Aug 11, 2019 02:20Jeshi la Saudia ambalo linaongoza uvamizi dhidi ya Yemen limeshambulia ngome ya wanamgambo wanaopata himaya ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Aden na kuitaja ngome hiyo kuwa 'tishio'. Hii ni katika hali ambayo UAE ni mshirika mkuu wa Saudia katika vita dhidi ya Yemen.
-
Waziri wa Saudia wa Masuala ya Kiislamu aomba radhi kwa kumkumbatia na kumbusu mwanamke hadharani
Aug 09, 2019 20:49Waziri wa Masuala wa Kiislamu wa Saudi Arabia ameomba radhi baada ya kukosolewa kwa kumkumbatia kwa njia ya kumfariji na kumbusu kichwani hujaji mwanamke ambaye mume wake aliuliwa katika shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti mmoja nchini New Zealand.
-
Jumuiya za kiraia Canada zaitaka serikali ya Ottawa iache kuiuzia silaha Saudi Arabia
Aug 08, 2019 03:26Jumuiya 12 za kiraia nchini Canada zinamshinikiza Waziri Mkuu wa nchi hiyo Justin Trudeau ili asimamishe kuuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia unaofanya jinai kila leo dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Saudi Arabia yatakiwa ikomeshe uadui wake dhidi ya taifa la Yemen
Aug 04, 2019 03:35Yahya Ali al-Qahoum, afisa Mwandamizi wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameitaka Saudi Arabia ikomeshe uadui wake dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Yemen.
-
Ripoti: Imarati imeondoa askari wake Yemen kwa sababu Saudia haitashinda vita
Aug 03, 2019 22:35Ripoti iliyofichuliwa hivi karibuni imebaini kuwa Imarati ambayo ni mshirika muhimu katika muungano wa vita vya Saudi Arabia nchini Yemen imeamua kuondoa majeshi yake nchini humo kwa sababu ni muhali kuweza kushinda vita hivyo.
-
Facebook yafunga akaunti na kurasa bandia zinazoihusu Riyadh
Aug 02, 2019 20:56Mtandao wa kijamii wa Facebook umefunga hesabu bandia zaidi ya 350 zenye mfungamano na Saudi Arabia ambazo baadhi zina wafuasi zaidi ya milioni moja na laki nne.
-
Kuendelea uingiliaji wa kigeni nchini Sudan
Jul 30, 2019 23:09Huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea nchini Sudan, uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo umeongezeka kwa kadiri kwamba baadhi ya nchi za eneo zikiongozwa na Saudi Arabia zinafuatilia kwa nguvu zao zote suala la kuwa na ushawishi mkubwa katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Mpangaji wa mashambulizi ya Septemba 11: Nitatoa ushahidi dhidi ya Wasaudi
Jul 30, 2019 06:45Mpangaji wa mashambulizi ya Septemba 11 nchini Marekani amesema kuwa yupo tayari kutoa ushahidi dhidi ya viongozi wa Saudia iwapo serikali ya Marekani haitamhukumu adhabu ya kifo.
-
Mahakama ya Saudia yamhukumu kifo mfungwa wa kisiasa wa Qatif
Jul 29, 2019 22:28Mahakama ya utawala wa Saudi Arabia imemhukumu kifo mfungwa wa kisiasa mkazi wa jimbo la Waislamu wa madhehebu ya Shia la al Sharqiyyah katika mji wa Qatif.
-
Sisitizo la Pompeo kuhusu nafasi ya Saudia katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jul 27, 2019 06:22Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imezingatia sana eneo la Ghuba ya Uajemi na nchi za kusini mwa eneo hili hususan Saudi Arabia, ambapo imetiliana nayo saini mikataba ya mauzo ya silaha ambayo ilikuwa haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.