Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Mkuu wa Benki ya Dunia asusia mkutano wa Saudi Arabia, kisa, mauaji ya Khashoggi

    Mkuu wa Benki ya Dunia asusia mkutano wa Saudi Arabia, kisa, mauaji ya Khashoggi

    Oct 12, 2018 23:15

    Mkuu wa Benki ya Dunia amekataa kushiriki katika mkutano wa wawekezaji uliopangwa kufanyika Saudi Arabia.

  • Uturuki: Tuna mkanda unaothibitisha Saudia imemuua Khashoggi

    Uturuki: Tuna mkanda unaothibitisha Saudia imemuua Khashoggi

    Oct 12, 2018 13:42

    Afisa mmoja wa masuala ya usalama wa Uturuki amesema kuwa, kuna mkanda wa sauti na video unaothibitisha kuwa mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi ameuawa ndani ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Uturuki.

  • Trump awashambulia marafiki na maadui zake

    Trump awashambulia marafiki na maadui zake

    Oct 11, 2018 23:11

    Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.

  • Droni ya jeshi la Yemen ya Qasef-1 yashambulia kambi za wanajeshi vamizi wa Saudia

    Droni ya jeshi la Yemen ya Qasef-1 yashambulia kambi za wanajeshi vamizi wa Saudia

    Oct 10, 2018 11:37

    Kikosi cha ndege zisizo na rubani cha jeshi la Yemen kimeshambulia ngome na mahali walipokuwa makamanda wa muungano wa wanajeshi vamizi katika kambi ya Anbara magharibi mwa Yemen.

  • Afrika Kusini yatuhumiwa kushirikiana na Saudia katika mauaji ya watu wa Yemen

    Afrika Kusini yatuhumiwa kushirikiana na Saudia katika mauaji ya watu wa Yemen

    Oct 08, 2018 11:17

    Serikali ya Afrika Kusini imetuhumiwa kuwa inashirikiana na Saudi Arabia katika mauaji yanayofanywa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia nchini Yemen.

  • AI: Jamii ya kimataifa ifuatilie mauaji ya mwandishi habari Msaudi

    AI: Jamii ya kimataifa ifuatilie mauaji ya mwandishi habari Msaudi

    Oct 08, 2018 11:00

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa isinyamazie kimya ukandamizaji unaofaywa na serikali ya Saudi Arabia dhidi ya wapinzani wa nchi hiyo na iishinikize serikali ya Riyadh kwa ajili ya kuweka wazi faili la mwandishi habari wa nchi hiyo aliyetoweka kwa njia ya kutatanisha.

  • UN: Jamii ya Kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya Jamal Khashoggi

    UN: Jamii ya Kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya Jamal Khashoggi

    Oct 08, 2018 04:14

    David Kaye, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa uhuru wa maoni na kujieleza amesema kuhusiana na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia aliyeuliwa katika ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki, kwamba jamii ya kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya mwandishi huyo wa habari.

  • The Independent: Kadhia ya Khashoggi imezidi kudhihirisha jinsi utawala wa Saudia ulivyo dhaifu

    The Independent: Kadhia ya Khashoggi imezidi kudhihirisha jinsi utawala wa Saudia ulivyo dhaifu

    Oct 07, 2018 12:00

    Gazeti la The Independent linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa kusadifiana mkasa wa kuuliwa mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Aal Saud sambamba na matamshi ya udhalilishaji yaliyotolewa na rais wa Marekani kuhusu Saudi Arabia kumezidi kudhihirisha jinsi utawala huo ulivyo dhaifu.

  • Waturuki waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru Jamal Khashoggi

    Waturuki waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru Jamal Khashoggi

    Oct 06, 2018 01:22

    Raia wa Uturuki wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru mwandishi wa habari wa Saudia ambaye ametoweka kwa siku kadhaa sasa.

  • Saudia, Imarati na Marekani kuunda muungano wa kijeshi Pembe ya Afrika

    Saudia, Imarati na Marekani kuunda muungano wa kijeshi Pembe ya Afrika

    Oct 01, 2018 00:03

    Gazeti moja la nchini Qatar limefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na Saudi Arabia zina nia ya kuunda muungano mwingine wa kijeshi wa nchi kadhaa katika eneo la Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS