-
Saudia yawapiga marufuku mahujaji kujadili masuala ya Yemen na Palestina
Jul 28, 2018 06:52Kufuatia kushindwa siasa za Saudia kuanzia nchini Syria, Iraq na Yemen, na kadhalika kashfa za kuyasaidia kifedha makundi ya kigaidi na Kiwahabi, serikali ya Riyadh imepiga marufuku vikao vya aina yoyote vinavyojadili masuala ya kisiasa yakiwemo masuala ya Yemen na Palestina.
-
Nyaraka za ushahidi wa msaada wa silaha wa Saudia kwa magaidi nchini Syria
Jul 21, 2018 02:42Gazeti la Independent la Uingereza limechapisha nyaraka zinazoonyesha namna ambavyo Saudi Arabia imekuwa ikiwapatia silaha magaidi nchini Syria.
-
Kushambuliwa kituo cha kusafisha mafuta Riyadh, hatua mpya katika vita vya Yemen
Jul 19, 2018 05:31Ndege ya kivita isiyo na rubani (drone) ya Jeshi la Yemen na Kamati za Kujitolea za Wananchi Wayemen imetekeleza shambulizi ambalo limelenga kwa mafanikio maghala ya mafuta ya kituo cha kusafisha mafuta ya petroli cha Shirika la Aramco la Saudia Arabia katika mji mkuu wa nchi hiyo, Riyadh.
-
Ndege zisizo na rubani za Yemen zashambulia Shirika la Mafuta la Saudia, mjini Riyadh
Jul 19, 2018 03:32Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema baada ya ndege zisizo na rubani za nchi hiyo kushambulia kwa makombora Shirika la Mafuta la Saudi Arabia (ARAMCO) kwamba, operesheni ya jeshi la Yemen kwa kutumia ndege hizo zisizo na rubani, zimeleta mabadiliko makubwa katika vita dhidi ya maadui.
-
Aziz Ahmed Fanus: Saudia inalinda maslahi ya Marekani nchini Afghanistan
Jul 15, 2018 23:46Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na kieneo wa nchini Afghanistan ambaye pia ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa, Saudi Arabia inalinda kikamilifu maslahi na malengo ya Marekani nchini Afghanistan.
-
SAUTI, Mashirika ya kiraia yaitaka serikali ya Kenya kuwasaidia Wakenya wanaoteswa nchini Saudia
Jul 14, 2018 12:50Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya yameitaka serikali ya ya nchi hiyo kufuatialia hali ya Wakenya wanaofanya kazi mbalimbali katika nchi za Kiarabu hususan Saudi Arabia.
-
Msafara wa vifaru vya Saudia waangamizwa na Wayemen
Jul 14, 2018 09:34Kikosi cha mizinga na makombora cha jeshi pamoja na Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen, kimefanikiwa kuangamiza msafara wa vifaru vya Saudi Arabia vilivyokuwa ndani ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Saudi Arabia yamtia nguvuni mwanazuoni wa nchi hiyo kwa kukosoa serikali
Jul 12, 2018 10:29Utawala wa Saudi Arabia umemtia nguvuni mwanazuoni wa kidini wa nchi hiyo baada ya kukosoa siasa za utawala wa kifalme wa nchi hiyo na Marekani.
-
Hadithi ya Uongofu (118)
Jul 11, 2018 08:34Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji tunapokutana katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilizungumzia moja ya tabia mbaya za kimaadili nayo ni uzuaji na usingiziaji au utungaji uwongo.
-
Saudia yaendeleza tuhuma zake dhidi ya Iran
Jul 10, 2018 23:56Serikali ya Saudi Arabia sambamba na kutuma barua kwenda Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeituhumu nchi hii kwamba inakiuka haki yake ya kujitawala katika maji ya bahari ya nchi hiyo.