Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha za Marekani, Israel mpokezi mkubwa zaidi wa misaada ya kijeshi ya Marekani

    Saudia mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha za Marekani, Israel mpokezi mkubwa zaidi wa misaada ya kijeshi ya Marekani

    May 23, 2017 02:33

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umebainisha wasiwasi wake kuhusu Marekani kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye kugharimu mabilioni ya dola katika hali ambayo Israel yenyewe inapokea misaada ya silaha za kisasa zaidi kutoka Marekani.

  • Independent: Hotuba ya Trump Saudia imetoa baraka kwa tawala za kidikteta Mashariki ya Kati

    Independent: Hotuba ya Trump Saudia imetoa baraka kwa tawala za kidikteta Mashariki ya Kati

    May 22, 2017 11:58

    Gazeti la The Independent linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa hotuba iliyotolewa na Rais wa Marekani mjini Riyadh, Saudi Arabia ilikuwa sawa na ujumbe wa kutoa baraka kwa tawala za kiimla na kidikteta za Mashariki ya Kati (Magharibi ya Asia) za kuendeleza utesaji na ukandamizaji dhidi ya jamii za wachache katika nchi zao.

  • Afghanistan: Saudia na Qatar, ndio wafadhili wakuu wa genge la Daesh nchini mwetu

    Afghanistan: Saudia na Qatar, ndio wafadhili wakuu wa genge la Daesh nchini mwetu

    May 22, 2017 11:18

    Mjumbe wa Bunge la Afghanistan amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaendelesha harakati zake kaskazini mwa nchi hiyo kupitia uungaji mkono wa kifedha wa Saudia na Qatar.

  • Seneta wa US akosoa mauzo ya silaha kwa Saudia kwa dola bilioni 110

    Seneta wa US akosoa mauzo ya silaha kwa Saudia kwa dola bilioni 110

    May 21, 2017 23:32

    Seneta mmoja wa chama cha Democratic nchini Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington kusaini makubaliano ya mauzo ya silaha yenye thamani ya dola bilioni 110 za Marekani kwa Saudi Arabia, licha ya kufahamu fika kuwa silaha hizo zinatumiwa na watawala Riyadh kuwaua raia wa Yemen.

  • Human Rights Watch yamuonya Trump kuhusu kuiuzia silaha Saudia

    Human Rights Watch yamuonya Trump kuhusu kuiuzia silaha Saudia

    May 21, 2017 23:27

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limemuona Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na kuiuzia silaha Saudi Arabia kutokana na nchi hiyo kutenda jinai dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Hizbullah: Safari ya Trump Saudia ni ya kiwendawazimu

    Hizbullah: Safari ya Trump Saudia ni ya kiwendawazimu

    May 21, 2017 09:35

    Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeitaja safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudi Arabia kama ya kiwendawazimu na ambayo haitakuwa na tija yoyote kwa ulimwengu wa Kiislamu.

  • Iran: Lengo la Marekani ni kuudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu

    Iran: Lengo la Marekani ni kuudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu

    May 21, 2017 03:26

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge la Iran amesema, lengo la Marekani ni kuudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu, kushadidisha mizozo katika eneo hili, kuuza silaha nyingi zaidi na kuweka kambi nyingi zaidi za kijeshi katika nchi kama vile Saudi Arabia.

  • Jumapili 21 Mei, 2017

    Jumapili 21 Mei, 2017

    May 21, 2017 00:00

    Leo ni Jumapili tarehe 24 Shaaban 1438 Hijria Qamaria sawa 21 Mei 2017 Miladia.

  • Ijumaa Tarehe 19 Mei, 2017

    Ijumaa Tarehe 19 Mei, 2017

    May 19, 2017 05:48

    Leo ni Ijumaa tarehe 22 Shaaban 1438 Hijiria, sawa na tarehe 19 Mei 2017 Miladia.

  • Madai yasiyo na msingi kwamba Iran inapeleka silaha nchini Yemen

    Madai yasiyo na msingi kwamba Iran inapeleka silaha nchini Yemen

    May 16, 2017 03:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bahram Qassemi ameashiria mashambulio ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen yaliyoanza Machi mwaka 2015 na kuendelea hadi sasa na kueleza kwamba Wayemeni wana silaha nyingi sana ambapo bila ya kuzingaia ukweli huo, Saudia ilidhani itaweza kuhatimisha vita hivyo kwa manufaa yake ndani ya kipindi kifupi mno.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS