Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wairani kufanya ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudia kukubali masharti ya Tehran

    Wairani kufanya ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudia kukubali masharti ya Tehran

    Mar 17, 2017 23:20

    Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya ibada ya Hija baada ya maafisa wa seriakali ya Saudi Arabia kukubali masharti ya kudhamini mahitaji ya mahujaji wa Iran.

  • Amnesty yaitaka US ikome kuziuzia silaha Saudia na Bahrain

    Amnesty yaitaka US ikome kuziuzia silaha Saudia na Bahrain

    Mar 16, 2017 11:05

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Marekani iache kuziuzia silaha serikali za Saudi Arabia na Bahrain kutokana na nchi hizo kutumia silaha hizo kuvunja haki za raia.

  • Wayemen wataka kuundwe kamati ya kuchunguza jinai za Saudia nchini mwao

    Wayemen wataka kuundwe kamati ya kuchunguza jinai za Saudia nchini mwao

    Mar 16, 2017 00:28

    Serikali ya Yemen imetaka kuundwe kamati huru ya kimataifa ya kuchunguza jinai za Saudi Arabia nchini humo.

  • Wanawake Yemen waandamana nje ya ofisi za UN kulaani jinai za Saudia

    Wanawake Yemen waandamana nje ya ofisi za UN kulaani jinai za Saudia

    Mar 15, 2017 03:29

    Wanawake wa Yemen wamefanya maandamano na kukita kambi nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Sana’a, kuutaka umoja huo usitishe jinai na uvamizi wa Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.

  • Yemen yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu jinai za Saudia

    Yemen yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu jinai za Saudia

    Mar 14, 2017 01:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kusimamisha jinai, vita na mzingiro uliowekwa dhidi ya nchi hiyo.

  • Wapinzani Maldives wapinga Saudia kuuziwa visiwa

    Wapinzani Maldives wapinga Saudia kuuziwa visiwa

    Mar 11, 2017 10:54

    Vyama vya upinzani nchini Maldives vimepinga safari ya mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudia nchini humo baada ya kuvuja ripoti kuwa anataka kununua sehemu kubwa ya visiwa vya nchi hiyo ndogo ya kusini mwa Asia.

  • Jeshi la Yemen lalipiza kisasi, laua wanajeshi na mamluki 12 wa Saudia

    Jeshi la Yemen lalipiza kisasi, laua wanajeshi na mamluki 12 wa Saudia

    Mar 10, 2017 10:39

    Jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vimeshambulia kituo cha kijeshi cha Aal-Saud katika mkoa wa Najran, kusini mwa Saudi Arabia na kuua wanajeshi na mamluki 12 wa utawala huo wa kifalme.

  • Jeshi la Yemen lashambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya Wasaudia

    Jeshi la Yemen lashambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya Wasaudia

    Mar 09, 2017 04:30

    Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limeshambulia kwa kombora la balestiki, eneo la mkusanyiko la askari vibaraka wa Saudia katika mji wa al-Makha katika mkoa wa Taiz nchini humo.

  • Malaysia yawatia mbaroni watuhumiwa wa njama ya kumuua Mfalme Salman wa Saudia

    Malaysia yawatia mbaroni watuhumiwa wa njama ya kumuua Mfalme Salman wa Saudia

    Mar 07, 2017 12:07

    Serikali ya Malyasia imedai kuwa, ilizima njama ya jaribio la kutaka kumuua Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia aliyeko katika safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za mashariki mwa Asia.

  • Mfalme wa Saudia asitisha safari yake Lebanon kwa kuumizwa na mahusiano ya Rais Aoun na Hizbullah

    Mfalme wa Saudia asitisha safari yake Lebanon kwa kuumizwa na mahusiano ya Rais Aoun na Hizbullah

    Mar 07, 2017 01:12

    Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa nchini Saudia, amesitisha safari yake nchini Lebanon kutokana na misimamo chanya ya Rais Michel Aoun wa nchi hiyo katika kuunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS