-
Wapalestina: Uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ndio umeifanya Saudia iichukie Tehran
Feb 20, 2017 04:07Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, Saudia inapingana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua ya Tehran kuiunga mkono Palestina.
-
Qassemi: Kufanana misimamo ya Israel na Saudia sio jambo la ghafla
Feb 20, 2017 03:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufanana misimamo hasi dhidi ya Iran ya Kiislamu ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia na Waziri wa Vita wa Israel katika kikao cha Usalama cha mjini Munich, Ujerumani sio jambo la ghafla.
-
Saudia yanunua idadi kubwa ya 'silaha za kichokozi'
Feb 17, 2017 23:09Wataalamu wa kijeshi wamefichua kuwa, Saudi Arabia na nchi kadhaa za Kiarabu zinazopata himaya ya nchi za Magharibi zimenunua idadi kubwa ya silaha za 'kichokozi' na zenye uwezo wa kutumika kuhujumu masafa ya mbali.
-
Saudi Arabia: Tumesambaratisha genge la lililokuwa na mfungamano na Daesh huko Makkah na Madina
Feb 17, 2017 00:58Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imetangaza kusambaratisha mtandao wa kigaidi wenye mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika maeneo tofauti ya nchi hiyo, ikiwemo miji mitukufu ya Makkah na Madinad.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman aikosoa Saudia kwa kushupalia vita
Feb 15, 2017 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf bin Alawi ameikosoa Saudi Arabia kutokana na kushupalia utumiaji njia za kijeshi badala ya diplomasia kwa ajili ya kutatua migogoro ya eneo la Mashariki ya Kati.
-
Hosni Mubarak: Visiwa vya Tiran na Sanafir ni vya Misri
Feb 13, 2017 23:47Dikteta aliyepinduliwa madarakani huko Misri amesisitiza kuwa visiwa vya Tiran na Sanafir ni milki ya nchi hiyo.
-
Iran yasema Saudi Arabia imechanganyikiwa
Feb 13, 2017 12:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, watawala wa Saudi Arabia wamechanganyikiwa na wanawasababishia raia wa nchi hiyo matatizo mengi.
-
Uingereza yaendelea kuiuzia silaha Saudia licha ya upinzani mkali wa kimataifa
Feb 13, 2017 04:20Ripoti iliyofichuliwa nchini Uingereza imeonesha kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ameitaka serikali ya London kuendelea kuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia unaoua watu wasio na hatia wa Yemen hususan wanawake na watoto wadogo.
-
Misri iliwasiliana na Israel kabla ya kuikabidhi Saudia visiwa vya Tiran na Sanafir
Feb 12, 2017 03:41Rekodi iliyovuja ya mazungumzo ya simu imefichua kuwa Misri iliwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kupata baraka na uungaji mkono wake kabla ya kusaini muafaka wa kuikabidhi Saudi Arabia visiwa vyake viwili vya Sanafir na Tiran.
-
CIA yaipa Saudia tuzo ya "kupambana na ugaidi"
Feb 11, 2017 23:29Shirika Kuu la Kijasusi Marekani (CIA) limempa tuzo Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudi Arabia, Mohammad bin Nayef kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni "kazi zake za kijasusi katika vita dhidi ya ugaidi."