Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Iran yasema Saudi Arabia imechanganyikiwa

    Iran yasema Saudi Arabia imechanganyikiwa

    Feb 13, 2017 12:02

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, watawala wa Saudi Arabia wamechanganyikiwa na wanawasababishia raia wa nchi hiyo matatizo mengi.

  • Uingereza yaendelea kuiuzia silaha Saudia licha ya upinzani mkali wa kimataifa

    Uingereza yaendelea kuiuzia silaha Saudia licha ya upinzani mkali wa kimataifa

    Feb 13, 2017 04:20

    Ripoti iliyofichuliwa nchini Uingereza imeonesha kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ameitaka serikali ya London kuendelea kuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia unaoua watu wasio na hatia wa Yemen hususan wanawake na watoto wadogo.

  • Misri iliwasiliana na Israel kabla ya kuikabidhi Saudia visiwa vya Tiran na Sanafir

    Misri iliwasiliana na Israel kabla ya kuikabidhi Saudia visiwa vya Tiran na Sanafir

    Feb 12, 2017 03:41

    Rekodi iliyovuja ya mazungumzo ya simu imefichua kuwa Misri iliwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kupata baraka na uungaji mkono wake kabla ya kusaini muafaka wa kuikabidhi Saudi Arabia visiwa vyake viwili vya Sanafir na Tiran.

  • CIA yaipa Saudia tuzo ya

    CIA yaipa Saudia tuzo ya "kupambana na ugaidi"

    Feb 11, 2017 23:29

    Shirika Kuu la Kijasusi Marekani (CIA) limempa tuzo Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudi Arabia, Mohammad bin Nayef kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni "kazi zake za kijasusi katika vita dhidi ya ugaidi."

  • Aal-Saud wawaekea vizuizi Waislamu wa Shia wasiende Karbala kumzuru mjukuu wa Mtume (saw)

    Aal-Saud wawaekea vizuizi Waislamu wa Shia wasiende Karbala kumzuru mjukuu wa Mtume (saw)

    Feb 09, 2017 13:01

    Utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia, umeendeleza ukandamizaji na mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Shia wa nchi hiyo, mara hii ukiwazuia wanaume walio na umri chini ya miaka 40 kufanya safari nchini Iraq kwa lengo la kumzuru al-Imamul-Hussein, mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).

  • Ubelgiji: Saudia inaeneza fikra za Uwahabi barani Ulaya

    Ubelgiji: Saudia inaeneza fikra za Uwahabi barani Ulaya

    Feb 09, 2017 03:48

    Ubelgiji imeeleza wasi wasi wake juu ya kuenea kwa kasi mwangwi wa Uwahabi katika nchi hiyo na kote bara Ulaya kwa ujumla.

  • Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 23 pamoja na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 23 pamoja na sauti

    Feb 07, 2017 13:21

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 23 ya makala yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (sawa) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.

  • Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 22 pamoja na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 22 pamoja na sauti

    Feb 07, 2017 13:12

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine hii ikiwa ni sehemu ya 22 ya mfululizo huo.

  • Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 21 pamoja na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 21 pamoja na sauti

    Feb 07, 2017 13:06

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine hii ikiwa ni sehemu ya 21 ya mfululizo huo.

  • HRW yatiwa wasiwasi na kuongezeka mateso Saudi Arabia

    HRW yatiwa wasiwasi na kuongezeka mateso Saudi Arabia

    Feb 07, 2017 03:39

    Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema linatiwa wasiwasi na kuongezeka pakubwa mateso nchini Saudia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS