Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • UN: Yemen imerejea muongo mmoja nyuma katika sekta ya afya

    UN: Yemen imerejea muongo mmoja nyuma katika sekta ya afya

    Feb 01, 2017 00:52

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema sekta ya afya ya Yemen imesambaratika kwa kiwango cha kutia wasi wasi kutokana na hujuma za kila siku za jeshi la utawala wa Aal-Saud.

  • Video: Jeshi la Yemen laangamiza meli ya kivita ya Saudia

    Video: Jeshi la Yemen laangamiza meli ya kivita ya Saudia

    Jan 31, 2017 03:07

    Jeshi la Yemen jana Jumatatu liliteketeza meli ya kivita ya Saudia na kuangamiza makumi ya wanajeshi vamizi wa nchi hiyo na kujeruhi wengine wengi.

  • Jeshi la Yemen laangamiza meli ya mizinga ya Saudia, Riyadh yakiri

    Jeshi la Yemen laangamiza meli ya mizinga ya Saudia, Riyadh yakiri

    Jan 31, 2017 01:09

    Jeshi la Yemen Jumatatu ya jana liliangamiza meli ya mizinga ya Saudia na kusababisha makumi ya askari wa nchi hiyo vamizi kuangamizwa na wengine kujeruhiwa.

  • UN: Saudi Arabia imetenda jinai kubwa za kivita nchini Yemen

    UN: Saudi Arabia imetenda jinai kubwa za kivita nchini Yemen

    Jan 31, 2017 00:40

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, Saudi Arabia imefanya jinai za kivita katika mashambulizi yake ya kijeshi nchini Yemen.

  • Mkahawa wa kwanza wa muziki na mchanganyiko wa kike kiume wafunguliwa Riyadh, Saudia

    Mkahawa wa kwanza wa muziki na mchanganyiko wa kike kiume wafunguliwa Riyadh, Saudia

    Jan 29, 2017 04:23

    Mkahawa wa kwanza wa muziki na mchanganyiko wa wanawake na wanaume umefunguliwa katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh na viongozi wa utawala wa Aal Saud ambao wenyewe wanajinasibu kuwa watumishi wa haram mbili tukufu za Makka na Madina.

  • Waziri wa Fedha wa Saudia akiri nchi kukabiliwa na mgogoro wa kifedha

    Waziri wa Fedha wa Saudia akiri nchi kukabiliwa na mgogoro wa kifedha

    Jan 23, 2017 04:23

    Waziri wa Fedha wa Saudi Arabia amekiri kuwa nchi hiyo itaendelea kuathiriwa na mgogoro wa kifedha hadi mwaka 2020.

  • Jumapili Januari 22, 2017

    Jumapili Januari 22, 2017

    Jan 22, 2017 10:58

    Leo ni Jumapili tarehe 23 Rabiul th-Thani 1438 Hijria sawa na tarehe 22 Januari, 2017 Miladia.

  • Kuongezeka wimbi la umasiki nchini Saudia

    Kuongezeka wimbi la umasiki nchini Saudia

    Jan 22, 2017 10:23

    Philip Alston, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya ongezeko la umasikini na masuala ya haki za wanawake duniani amesema kuwa, kinyume na inavyodhaniwa, nchini Saudia kuna maeneo mengi ambayo wakazi wake ni masikini wa sana.

  • Jumamosi, 21 Januari, 2017

    Jumamosi, 21 Januari, 2017

    Jan 21, 2017 01:09

    Leo ni Jumamosi tarehe 22 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1438 Hijria sawa na tarehe 21 Januari 2017 Miladia.

  • Saudia yaendelea kuua raia wa Yemen kwa mabomu ya vishada

    Saudia yaendelea kuua raia wa Yemen kwa mabomu ya vishada

    Jan 21, 2017 00:48

    Raia wengine watatu wa Yemen wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulio mapya ya anga yaliyofanywa na jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa Sanaá mji mkuu wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS