Video: Jeshi la Yemen laangamiza meli ya kivita ya Saudia
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i24501-video_jeshi_la_yemen_laangamiza_meli_ya_kivita_ya_saudia
Jeshi la Yemen jana Jumatatu liliteketeza meli ya kivita ya Saudia na kuangamiza makumi ya wanajeshi vamizi wa nchi hiyo na kujeruhi wengine wengi.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jan 31, 2017 03:07 UTC

Jeshi la Yemen jana Jumatatu liliteketeza meli ya kivita ya Saudia na kuangamiza makumi ya wanajeshi vamizi wa nchi hiyo na kujeruhi wengine wengi.

Viongozi wa Saudi Arabia wamekiri kutokea shambuilio hilo na kusema, askari wake wawili wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa. Kipande hiki cha video kinaonesha jinsi jeshi la Yemen lilivyofanikiwa kuilenga kwa kombora na kuiangamiza meli ya jeshi vamizi la Saudi Arabia.