-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utazinufaisha pande mbili
Apr 18, 2025 03:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utakuwa na faida kwa pande mbili na unaweza kuzifanya pande mbili hizo zikamilishane.
-
"Saudia, UAE, Qatar, Kuwait zapiga marufuku ndege za US kufanya mashambulio"
Apr 03, 2025 02:34Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya ndege au anga zao kufanya mashambulizi dhidi ya Yemen.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 01, 2025 03:55Baadhi ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumamosi ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Iran na Saudi Arabia kuimarisha uhusiano katika sekta ya teknolojia
Dec 28, 2024 02:44Rais wa Shirika la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano la Iran na Rais wa Kamati ya Mawasiliano, Anga za Mbali na Teknolojia (CST) ya Saudi Arabia katika mkutano wa pamoja huko Riyadh wamesisitiza kuimarisha ushirikiano na kubadilishana uzoefu katika nyanja mbalimbali za teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)
-
Vijana wa Iraq wachoma moto ofisi ya kituo cha MBC cha Saudi Arabia
Oct 19, 2024 07:47Vijana wa Iraq waliokuwa na hasira wamechoma moto ofisi ya MBC ya Saudi Arabia mjini Baghdad baada ya kituo hicho cha televisheni kuwatusi makamanda wa muqawama waliouawa shahidi kuwa ni magaidi.
-
Kinyume na uongo wa Netanyahu, UN yasema: Israel imezuia 90% ya misaada ya kuingizwa Ghaza
Sep 28, 2024 10:03Umoja wa Mataifa umesema, kuna changamoto kadhaa zinazokabili shughuli za ufikishaji misaada ya kibinadamu kaskazini na kusini mwa Ukanda wa Ghaza, na kubainisha kuwa 90% ya misaada hiyo iliyokuwa imeratibiwa kufikishwa kwenye maeneo hayo ama imekataliwa au kuzuiliwa hadi sasa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwezi huu wa Septemba.
-
Kikao cha OIC cha mjini Jeddah na majukumu ya nchi za Kiislamu
Aug 08, 2024 09:58Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeamua kuitisha kikao dha dharura mjini Jeddah, Saudi Arabia wakati huu ambapo Iran na kambi ya muqawama inajiandaa kutoa majibu makali kwa Israel kutokana na vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni.
-
Sisitizo la viongozi wakuu wa Iran na Saudia la kuimarisha uhusiano baina ya nchi zao
Jul 19, 2024 08:56Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na Massoud Pezeshkian, rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamezungumza kwa simu na kutilia mkazo umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tehran na Riyadh.
-
Iran: Tunaichukulia Hija kuwa ni nembo na dhihirisho la umoja na mshikamano
Jun 18, 2024 10:51Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaichukulia ibada ya Hija kuwa ni kielelezo na mhimili wa umoja na mshikamano katika safu za Waislamu na ni fursa adhimu ya kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kufikiria kwa pamoja njia za kutatua masuala ya Waislamu.
-
Saudi Arabia inatishia na kuchochea chuki dhidi ya mahujaji wanaotetea Palestina
Jun 17, 2024 02:27Katika msimu huu wa ibada tukufu ya Hija, watawala wa Saudi Arabia wamejaribu kutisha, kuchochea chuki na kuwachafulia jina mahujaji wanaoonyesha mshikamano na watu wa Palestina huku kukiwa na malalamiko ya kimataifa kuhusu vita vya kikatili vinavyoendeshwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu Ukanda wa Gaza.