-
Saudia yateua balozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya muongo mmoja
May 27, 2024 11:57Saudi Arabia imetangaza kuteua balozi wake mpya nchini Syria ikiwa ni balozi wake wa kwanza baada ya zaidi ya muongo mmoja tangu ilipositisha uhusiano wake na serikali yar ais Bashar al-Assad.
-
Wairani waanza safari ya kulekea ardhi ya Wahy kwa ajili ya ibada ya Hija
May 13, 2024 11:27Misafara ya kwanza ya Wairani wanaoelekea katika ardhi ya wahyi kwa ajili ya ibada ya Hija imeondoka nchini mapema leo.
-
Abdul Malik al Houthi: Saudia imeondoa aya za Qur'ani katika vitabu vya kiada ili kuwaridhisha Wazayuni
Apr 21, 2024 08:04Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewatuhumu viongozi wa Saudi Arabia kuwa wameondoa baadhi ya mafundisho ya Qur'ani katika progamu za kufundishia mashuleni ili kuwaridhisha Wazayuni.
-
Mashtaka ya Saudia dhidi ya Imarati, hatua ya aina yake katika uhusiano wa nchi mbili
Apr 20, 2024 02:42Saudi Arabia imewasilisha malalamiko dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na mzozo wa mpaka.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na mawaziri wenzake wa Saudia na Norway kuhusu Gaza
Jan 12, 2024 08:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia na Norway kuhusiana na kupanua uhusiano wa pande mbili na matukio yanayojiri katika Ukanda wa Gaza.
-
Kan'ani: Azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia lina nguvu na thabiti
Nov 12, 2023 13:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema, mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamejumuishwa katika azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia, na ibara na maneno ya azimio hilo ni yenye nguvu na imara.
-
Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano
Oct 10, 2023 07:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, karibuni hivi Iran na Sudan zitafungua tena balozi zao baada ya nchi hizo mbili kukamilisha mchakato wa kurejesha uhusiano wa kidipolmasia.
-
Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO
Jul 01, 2023 06:54Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.
-
Mahujaji zaidi ya milioni moja wawasili Saudia kwa ajili ya Hija
Jun 18, 2023 07:48Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
-
"Maadui wa Waislamu hasa Israel, wamehamakishwa na ushirikiano wa Iran, Saudia"
Jun 18, 2023 04:40Rais wa Iran amesema kuimarika uhusiano na ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumewahamakisha maadui wa Uislamu na Waislamu hususan utawala wa Kizayuni wa Israel.