-
Abdul Malik al Houthi: Saudia imeondoa aya za Qur'ani katika vitabu vya kiada ili kuwaridhisha Wazayuni
Apr 21, 2024 04:34Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewatuhumu viongozi wa Saudi Arabia kuwa wameondoa baadhi ya mafundisho ya Qur'ani katika progamu za kufundishia mashuleni ili kuwaridhisha Wazayuni.
-
Mashtaka ya Saudia dhidi ya Imarati, hatua ya aina yake katika uhusiano wa nchi mbili
Apr 19, 2024 23:12Saudi Arabia imewasilisha malalamiko dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na mzozo wa mpaka.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na mawaziri wenzake wa Saudia na Norway kuhusu Gaza
Jan 12, 2024 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia na Norway kuhusiana na kupanua uhusiano wa pande mbili na matukio yanayojiri katika Ukanda wa Gaza.
-
Kan'ani: Azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia lina nguvu na thabiti
Nov 12, 2023 10:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema, mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamejumuishwa katika azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia, na ibara na maneno ya azimio hilo ni yenye nguvu na imara.
-
Iran na Sudan kufungua tena balozi zao baada ya kukamilisha mchakato wa kuhuisha uhusiano
Oct 10, 2023 03:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, karibuni hivi Iran na Sudan zitafungua tena balozi zao baada ya nchi hizo mbili kukamilisha mchakato wa kurejesha uhusiano wa kidipolmasia.
-
Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO
Jul 01, 2023 03:24Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.
-
Mahujaji zaidi ya milioni moja wawasili Saudia kwa ajili ya Hija
Jun 18, 2023 04:18Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
-
"Maadui wa Waislamu hasa Israel, wamehamakishwa na ushirikiano wa Iran, Saudia"
Jun 18, 2023 01:10Rais wa Iran amesema kuimarika uhusiano na ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumewahamakisha maadui wa Uislamu na Waislamu hususan utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wakubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi
Jun 18, 2023 01:06Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wamekubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi kati ya nchi mbili.
-
Ansarullah ya Yemen yaionya Saudia isizike taka zake za nyuklia nchini Yemen
Jun 10, 2023 03:19Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeionya Saudi Arabia isithubutu kuzika taka zake za atomiki katika maeneo ya jangwani na baharini ya Yemen.