• Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Sep 07, 2019 08:49

    Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...

  • Malalamiko dhidi ya vitendo vya kikatili Afrika Kusini yafika hadi Kinshasa na Brazzaville + Sauti

    Malalamiko dhidi ya vitendo vya kikatili Afrika Kusini yafika hadi Kinshasa na Brazzaville + Sauti

    Sep 07, 2019 08:31

    Malalamiko ya kila namna yanaendelea kushuhudiwa katika nchi mbalimbali za Afrika kulalamikia vitendo visivya vya kibinadamu vinavyofanywa na makundi ya watu dhidi ya raia wa nchi za Afrika huko Afrika Kusini. Congo mbali, DRC na Congo Brazzaville, nako kumeshuhudiwa malalamiko ya kila namna. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Hotuba ya Waziri Mkuu wa DRC yazusha balaa bungeni + Sauti

    Hotuba ya Waziri Mkuu wa DRC yazusha balaa bungeni + Sauti

    Sep 05, 2019 16:04

    Hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bungeni ya kuomba kupasishwa baraza lake la mawaziri ili lianze kufanya kazi, imezua suitafahamu si tu miongoni mwa wapinzani, lakini pia miongoni mwa wabunge wa mseto tawala nchini humo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi kutoka jijini Brazzaville…

  • Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti

    Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti

    Sep 05, 2019 16:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamaganda Kabudi, amesema kuwa serikali ya nchi hiyo ambayo hivi ni miongoni mwa nchi za SADC itakuwa bega kwa bega na serikali ya Afrika Kusini katika kuhakikisha machafuko yanayoendelea huko Afrika Kusini yanakomeshwa. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dr es Salaam...

  • Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti

    Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti

    Sep 02, 2019 09:40

    Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu kwa kukaa na kutathmini walichokifanya mwaka uliokwisha kwani kwisha kwa mwaka kuna maana ya kuzidi mwanadamu kuelekea kwenye siku yake ya kuondoka duniani. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Elimu bure DRC ni kitendawili + Sauti

    Elimu bure DRC ni kitendawili + Sauti

    Sep 02, 2019 09:35

    Tangazo la Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu kutoa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na miaka miwili ya shule za upili limeibua suutafahamu miongoni mwa walimu na shule binafsi. Mossi Mwasi na maelezo zaidi kutoka jijini Brazzaville...

  • Safari za meli baina ya Kigoma Tanzania na Bujumbura Burundi zaanza tena baada ya miaka 15 + Sauti

    Safari za meli baina ya Kigoma Tanzania na Bujumbura Burundi zaanza tena baada ya miaka 15 + Sauti

    Aug 30, 2019 16:52

    Njia ya usafiri ya "Central Corridor" imezinduliwa rasmi kwa meli ya kwanza tangu miaka 15 kufika katika bandari ya Bujumbura Burundi kutokea Kigoma Tanzania, baada ya meli hiyo kusafirishwa kwa reli kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.

  • Kesi mpya ya Ebola yagunduliwa nchini Uganda + Sauti

    Kesi mpya ya Ebola yagunduliwa nchini Uganda + Sauti

    Aug 30, 2019 16:44

    Wizara ya Afya ya Uganda imesema kuwa msichana mmoja mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepatikana na virusi vya Ebola nchini Uganda. Wizara hiyo imesema kuwa, msichana huyo mwenye umri wa miaka 9, aliwasili nchini Uganda akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ingawa hata hivyo haikumtaja jina lake. 

  • Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Aug 30, 2019 16:41

    Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...

  • Burundi na DRC zahimiza ushirikiano mkubwa zaidi baina yao + Sauti

    Burundi na DRC zahimiza ushirikiano mkubwa zaidi baina yao + Sauti

    Aug 28, 2019 07:01

    Meya wa jiji la Bujumbura na mkuu wa jimbo la kivu kusini mashariki mwa DRC wameafikiana kuimarisha ushirikiano ili kukabiliana na makundi ya watu wenye kubebelea silaha wanao hatarisha usalama mara kwa mara katika nchi hizi 2. Pia kuimarisha vita dhidi ya ugonjwa wa Ebola