• Sheikh Hemen Jalala alalamikia unyanyasaji wa Waislamu Tanzania + Sauti

    Sheikh Hemen Jalala alalamikia unyanyasaji wa Waislamu Tanzania + Sauti

    Aug 26, 2019 06:55

    Mkuu wa chuo cha kiislamu cha Imam Swadiq AS kilichopo jijini Dar es Salaam Tanzania, Sheikh Hemed Jalala amesema kuwa kitendo cha kuwatilia shaka Waislamu wa kwa sababu ya kwenda nchi za Iran, Iraq, Syria, Saudi Arabia na Lebanon, ni kuvunja uhuru wao wa ibada. Ammar Dachi na maelezo zaidi...

  • Mufti wa Zanzibar awataka wanawake wa Kiislamu kuwa mstari wa mbele kutetea dini yao + Sauti

    Mufti wa Zanzibar awataka wanawake wa Kiislamu kuwa mstari wa mbele kutetea dini yao + Sauti

    Aug 26, 2019 06:32

    Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh al Kaabi, amewataka wanawake wa Kiislamu visiwani humo kuwa mstari wa mbele katika kutetea dini yao. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar...

  • Makubaliano ya kukomesha uhasama baina ya Uganda na Rwanda

    Makubaliano ya kukomesha uhasama baina ya Uganda na Rwanda

    Aug 23, 2019 06:10

    Siku moja baada ya Uganda na Rwanda kusaini makubaliano ya kukomesha matatizo yao, baadhi ya wachambuzi wanasema makubaliano hayo yaliyosainiwa Luanda Angola yatakuwa na maana ikiwa yatatekelezwa. Sylvanua Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...

  • Magari yanayotumia gesi yaongezeka nchini Tanzania

    Magari yanayotumia gesi yaongezeka nchini Tanzania

    Aug 23, 2019 06:04

    Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari yamezidi kukua nchini humo ambapo kwa sasa idadi ya magari hayo imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo mwaka 2017. Mwandishi wetu Ammar Dachi ana maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam....

  • Wapinzani CAR walalamikia ukandamizaji wa serikali + Sauti

    Wapinzani CAR walalamikia ukandamizaji wa serikali + Sauti

    Jul 19, 2019 06:13

    Vyama vya upinzani na asasi za kijamii za Jamhuri ya Afrika ya Kati zimeilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kukandamiza maandamano yao katika muda wa mwezi mmoja uliopita. maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu, Mossi Mwasi...

  • Rwanda haijakanusha wala kuthibitisha taarifa za kuingia Ebola nchini humo + Sauti

    Rwanda haijakanusha wala kuthibitisha taarifa za kuingia Ebola nchini humo + Sauti

    Jul 19, 2019 06:04

    Serikali ya Rwanda haijathibitisha wala kukanusha taarifa kuhusu mwanamke mmja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola wiki iliyopiwa alikuwa ameingia Rwanda kabla ya kuelekea Uganda au la. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...

  • Mahujaji 1700 wanatarajiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kutokea Zanzibar + Sauti

    Mahujaji 1700 wanatarajiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kutokea Zanzibar + Sauti

    Jul 15, 2019 04:42

    Mahujaji watarajiwa 1700 kutoka Zanzibar nchini Tanzania wametakiwa kufuata kwa vitendo mafunzo waliyopatiwa na viongozi wa taasisi za Hija zinazowasafirisha ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar

  • Wajasiriamali

    Wajasiriamali "Muhajjaba" waandaliwa shindano la uvaaji bora wa Hijab + Sauti

    Jul 15, 2019 04:36

    Wanawake wajasiriamali nchini Tanzania ambao wamedumisha vazi la Hijabu wameandaliwa shindano maalumu kwa wale wanaovaa vazi hilo tukufu hata wakiwa katika mishughuliko yao, lengo likiwa ni kuwapa motisha wale wasiovaa, wawezee kuvaa vazi hilo la heshima la Kiislamu. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam

  • Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi DRC yaanza kuzaa matunda + Sauti

    Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi DRC yaanza kuzaa matunda + Sauti

    Jul 13, 2019 15:45

    Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kujaribu kuvunja nguvu mirengo ya kisiasa nchini humo inaonekana imeanza kuzaa matunda. Mossi Mwasi na maelezo zaidi…

  • Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti

    Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti

    Jul 07, 2019 15:47

    Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, Waziri wa Viwanda na Biashara wa nchi hiyo, Mheshimiwa Innocent Bashugwa amewataka Watanzania kuitumia Sabasaba kama sehemu ya kuwakutanisha wafanyabiashara na wenye viwanda wa Tanzania na wanaotoka nchi mbalimbali kwaajili ya kujikuza kibiashara na wasiifanye kuwa ni sehemu ya kuwapeleka watoto matembezini tu. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam.