Magari yanayotumia gesi yaongezeka nchini Tanzania
Aug 23, 2019 06:04 UTC
Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari yamezidi kukua nchini humo ambapo kwa sasa idadi ya magari hayo imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo mwaka 2017. Mwandishi wetu Ammar Dachi ana maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam....
Tags