Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti
Sep 02, 2019 09:40 UTC
Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu kwa kukaa na kutathmini walichokifanya mwaka uliokwisha kwani kwisha kwa mwaka kuna maana ya kuzidi mwanadamu kuelekea kwenye siku yake ya kuondoka duniani. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
Tags