-
Sayyid Hassan Nasrullah: Uwezo wa muqawama wa Hizbullah umeongezeka zaidi
Feb 17, 2019 05:11Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa uwezo wa muqawama ambao unazidi kuongezeka kila siku, ni urithi wa makamanda waliouawa shahidi na alama ya nguvu ya harakati hiyo na kwamba njia hiyo itaendelea daima.
-
Hizbullah: Tumejitayarisha kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala wa Kizayuni
Feb 05, 2019 03:43Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa wanamapambano wa muqawama wamejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala haramu wa Israel.
-
Mazungumzo ya viongozi wa Muqawama na sisitizo la uhusiano wa kidugu na kijihadi
Dec 22, 2018 06:33Ujumbe wa viongozi na makamanda wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, juzi Alkhamisi tarehe 20 Disemba 2018 ulionana na Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Nasrullah: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel kunafichua sura halisi za wanafiki
Nov 11, 2018 04:38Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kwamba, kuwa na uhusiano wa kawaida nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel kutafichua sura halisi za wanafiki na wahadaaji.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Marekani na Israel zinatumia silaha ya elimu kuzidhalilisha nchi nyingine
Oct 20, 2018 15:45Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni zinatumia elimu na teknolojia kuyadhalilisha mataifa mengine duniani.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah inatumia weledi kusambaratisha fitina za maadui wa muqawama
Oct 20, 2018 01:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo inatumia weledi wa hali ya juu kusambaratisha njama za maadui wenye lengo la kuzusha fitina dhidi ya muqawama.
-
Sayyid Nasrullah: Trump anatumia propaganda chafu dhidi ya Iran kuuza silaha kwa nchi za Kiarabu
Oct 13, 2018 02:49Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran kwa shabaha ya kutaka kuuza silaha za mabilioni ya dola kwa nchi za Kiarabu.
-
Nasrullah: Makundi ya kigaidi nchini Syria yanasambaratika
Jun 30, 2018 04:10Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati yana manufaa kwa kambi ya muqawama na mapambano na kwamba makundi yanayobeba silaha huko Syria yamo katika hali ya kusambaratika.
-
HAMAS yamuomba msaada Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu wakimbizi wa Palestina
Jun 16, 2018 16:09Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), Ismail Haniya amemtumia ujumbe Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, akimuomba msaada kwa ajili ya kutatuliwa matatizo ya wakimbizi wa Kipalestina hususan wale walioko katika kambi ya wakimbizi ya Ain al-Hilweh.
-
Nasrullah asisitiza ulazima wa Waislamu kukabiliana na fitna ya Wasaudi; na Ulimwengu wa Kiislamu kufanya hima ya kuwasaidia watu wa Quds
Jun 09, 2018 03:33Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: Njama hatari zaidi ya adui ni mpango wa Marekani wa "Mapatano ya Karne" ambayo lengo lake ni kulitolea hukumu suala la Palestina na kuisalimisha Quds na matukufu yake kwa utawala ghasibu wa Kizayuni.