-
Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah itaendelea kuwaunga mkono kila upande raia wa Palestina
May 26, 2018 08:06Kwa mara nyingine Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesisitiza kuwa harakati hiyo itaendeleza uungaji mkono kamili kwa taifa na raia wa Palestina kwa kutumia nyenzo zote dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Ni ujinga wa hali ya juu kuiamini Marekani
May 14, 2018 17:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria kitendo cha Marekani cha kuvunja mikataba na maazimio ya kimataifa na kusema kuwa, baada ya tajriba zote ambazo zimeshuhudiwa kwa Washington, ni ujinga wa hali ya juu kuiamini nchi hiyo.
-
Onyo la Hizbullah ya Lebanon kwa Marekani, Israel na Saudi Arabia
May 03, 2018 01:46Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia haziwezi kukaa kimya baada ya kushindwa njama zao katika nchi za Iraq, Syria na Lebanon.
-
Hizbullah: Mashambulizi ya Israel Syria yatawasha moto katika eneo zima
Apr 24, 2018 07:48Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon sambamba na kuielezea kuwa nyeti hali ya hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema kuwa, kuendelea mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria si tu kwamba kunahatarisha usalama wa nchi hiyo, bali kuna hatari yatazusha mgogoro katika eneo zima.
-
Mtazamo wa Hassan Nasrullah kuhusiana na uchaguzi wa bunge nchini Lebanon
Apr 11, 2018 07:22Jumapili iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon alihutubia eneo la Nabatieh kusini mwa Lebanon ambapo alibainisha maoni yake kuhusiana na uchaguzi ujao wa bunge nchini humo.
-
Nasrullah: Saudia imependekeza kuipatia Syria mabilioni ya dola ivunje uhusiano wake na Iran
Mar 27, 2018 17:02Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah amesema utawala wa Aal Saud uliieleza serikali ya Syria kwamba uko tayari kuacha kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayotenda jinai na kuifisidi nchi hiyo na kuipatia serikali hiyo ya Damascus mamia ya mabilioni ya dola kwa ajili ya kuijenga upya Syria ikiwa nchi hiyo itakuwa tayari kuvunja uhusiano wake na Iran.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa njama za Marekani
Feb 26, 2018 07:14Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria alipokuwa akihutubia katika mji wa Baalabek juu ya kushindwa mipango ya Marekani na washirika wake katika Mashariki ya Kati na kusambaratishwa kundi la kigaidi la Daesh na kusema kuwa, hii leo tunapaswa kukusanya mafanikio yetu ambapo kubwa zaidi katika hayo ni uungaji mkono unaopata muqawama.
-
Tahadhari ya Sayyid Nasrulah kuhusu njama za Marekani Mashariki ya Kati
Feb 18, 2018 03:12Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa eneo lote la Mashariki ya Kati limekuwa medani ya vita vya mafuta na gesi. Sayyid Hassan Nasrullah ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumzia hitilafu za mpaka wa Lebanon na utawala wa kizayuni wa Israel na mivutano ya pande hizo mbili juu ya vyanzo vya mafuta na gesi katika maji ya pwani ya eneo hilo.
-
Sayyid Nasrullah alipongeza jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kivita ya Israel
Feb 17, 2018 07:26Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongea jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kijeshi aina ya F-16 ya utawala haramu wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mafanikio makubwa ya kijeshi.
-
Hassan Nasrullah: Inasikitisha kuona bado kuna nchi zinaendeleza uhusiano na Israel
Jan 20, 2018 04:42Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon sambamba na kuzitaka nchi zote za dunia kujiepusha kufanya uhusiano na utawala katili wa Israel, ameonyesha masikitiko kwamba bado kuna nchi zinaendeleza uhusiano na utawala huo.