-
Maandamano dhidi ya Marekani na Israel nchini Lebanon na hotuba muhimu ya Sayyid Hassan Nasrullah
Dec 12, 2017 13:05Maandamano ya kuitetea Beitul-Muqaddas yalifanyika alasiri ya jana katika viunga vya kusini mwa Beirut mji mkuu wa Lebanon na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya kisiasa.
-
Saudia yaichochea Israel iihujumu Lebanon, Hizbullah yasema iko tayari kijeshi
Nov 14, 2017 03:04Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kwa ajili ya makabiliano yoyote ya kijeshi huku kukiwa na tetesi kuwa Saudi Arabia inauchochea utawala wa Kizayuni wa Israel uishambulie Lebanon kijeshi.
-
Nasrullah: Saudia imeitangazia vita Lebanon kwa kumweka Hariri kwenye kizuizi cha nyumbani
Nov 11, 2017 04:02Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema kujiuzulu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri kumetokana na kulazimishwa na utawala wa Saudi Arabia na kubainisha kwamba: muamala wa udhalilishaji aliofanyiwa Waziri Mkuu wa Lebanon na utawala wa Aal Saud ni sawa na kuwadhalilisha Walebanon wote.
-
Nasrallah: Saudia ilimshinikiza Hariri ajiuzulu kama Waziri Mkuu wa Lebanon
Nov 06, 2017 09:21Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema, kujiuzulu Saad Hariri kama Waziri Mkuu wa Lebanon ni uamuzi ambao ulilazimishwa na utawala wa Saudi Arabia.
-
Nasrullah: Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh
Oct 09, 2017 03:48Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh huko Syria na inalisaidia kundi hilo kwa silaha kupitia kituo chake cha jeshi huko Syria.
-
Udharura wa kumtambua adui, msingi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah mchana wa Ashura
Oct 02, 2017 12:22Akiwahutubia waombolezaji wa kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein (as) mchana wa siku ya Ashura kupitia njia ya video, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitizia umuhimu wa kumtabua adui.
-
Nasrullah: Israel itajuta kwa kutaka kulisukuma eneo katika vita
Oct 01, 2017 15:29Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel chini ya 'jahili' Benjamin Netanyahu unataka kulisukuma eneo la Mashariki ya Kati katika vita.
-
Sayyid Nasrullah: Marekani na Israel zinaunga mkono kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq
Oct 01, 2017 03:56Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba aliyoitoa kwa mnasaba wa usiku wa Ashura ya Imam Husain AS kwamba Israel na Marekani zinaunga mkono kujitenga eneo la Kurdistan na maeneo mengine ya Iraq.
-
Hizbullah: Magaidi wa Daesh (ISIS) hawakuwa na budi ila kujisalimisha
Aug 29, 2017 07:25Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Qalamun, hawakuwa na chaguo jingine ghairi ya kujisalimisha kwa vikosi vya muqawama baada ya vikosi hivyo kuwakaribia magaidi hao katika eneo la mpaka wa pamoja wa Lebanon na Syria.
-
Larijani apongeza ushindi wa Hizbullah ya Lebanon katika vita vya siku 33
Aug 16, 2017 04:02Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametuma ujumbe tofauti kwa Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon na Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Lebanon katika vita vya siku 33.