Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Israel itashindwa vibaya na kufedheheka katika vita yoyote ya baadaye

    Sayyid Hassan Nasrullah: Israel itashindwa vibaya na kufedheheka katika vita yoyote ya baadaye

    Aug 14, 2017 04:01

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kushindwa na kufedheheka vitaukumba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita yoyote ile itakayotokea, zaidi ya kushindwa kulikoukuta katika vita vya siku 33 vya mwaka 2006.

  • Viongozi wa Israel wapatwa na kiwewe kufuatia hotuba ya kiongozi wa Hizbullah

    Viongozi wa Israel wapatwa na kiwewe kufuatia hotuba ya kiongozi wa Hizbullah

    Jun 26, 2017 04:17

    Viongozi mbalimbali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamepatwa na wasi wasi mkubwa kufuatia hotuba ya siku ya Ijumaa iliyopita ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Quds.

  • Spika wa Bunge la Iran: Utambulisho wa Israel ni tishio kwa mataifa yote

    Spika wa Bunge la Iran: Utambulisho wa Israel ni tishio kwa mataifa yote

    May 30, 2017 04:30

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utambulishi wa uvamizi na ubaguzi wa utawala haramu wa Israel ni tishio kwa mataifa yote ya Mashariki ya Kati na jamii nzima ya mwanadamu.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah afichua njama zinazofanywa dhidi ya wanamapambano Mashariki ya Kati

    Katibu Mkuu wa Hizbullah afichua njama zinazofanywa dhidi ya wanamapambano Mashariki ya Kati

    Mar 19, 2017 17:04

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jana katika hotuba yake aliyoitoa mjini Beirut kwa mnasaba wa kumbukumbu tukio la kuzaliwa binti wa Mtume Muhammad (saw), Bibi Fatima Zahra SA, alisema kuwa, pesa ambazo zimetumika katika vita nchini Syria ni za nchi za Kiarabu na kwamba fedha hizo zingeweza kutumika katika kuwasaidia Wapalestina na ujenzi mpya wa Ukanda wa Gaza.

  • Hizbullah yaipongeza Iran kwa kuunga mkono Palestina

    Hizbullah yaipongeza Iran kwa kuunga mkono Palestina

    Feb 21, 2017 04:45

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Palestina wakati nchi zingine zimeegemea upande wa utawala haramu wa Israel.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah kamwe haiiogopi Israel wala Marekani

    Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah kamwe haiiogopi Israel wala Marekani

    Feb 17, 2017 04:21

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, muqawama hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.

  • Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu

    Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu

    Dec 28, 2016 02:50

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema muqawama na kusimama kidete kutasambaratisha njama za madola ya kibeberu na kiistikbari katika nchi za Syria, Iraq na Lebanon.

  • Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu

    Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu

    Dec 23, 2016 16:24

    Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema harakati za magenge ya kigaidi na kitakfiri yanayofanya jinai za kutisha eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika hazina mafungamano yoyote na Uislamu na shakhsia wake mbora na mtukufu, Bwana Mtume Muhammad SAW.

  • Nasrullah azitaka nchi zote ziungane kukabiliana na tishio la Daesh

    Nasrullah azitaka nchi zote ziungane kukabiliana na tishio la Daesh

    Dec 10, 2016 07:20

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kwa kusema: "Njia pekee iliyoko mbele yetu ni kuulinda ustaarabu wa Kiislamu, eneo na uwepo wetu kwa kukabiliana na ugaidi".

  • Hizbullah yampongeza Aoun kuchaguliwa kuwa rais mpya Lebanon

    Hizbullah yampongeza Aoun kuchaguliwa kuwa rais mpya Lebanon

    Nov 04, 2016 15:49

    Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amempongeza Michel Aoun kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Lebanon na kusisitiza kuwa, harakati hiyo imekuwa ikilimbikiziwa tuhuma za uongo kuwa imekuwa kizingiti cha kufanyika uchaguzi nchini humo kwa takriban miaka miwili na nusu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS