-
Polisi wapambana na waandamanaji Senegal wanaolalamikia kuakhirishwa uchaguzi wa rais
Feb 05, 2024 03:16Wafuasi wa vyama vya upinzani na polisi wamepambana katika mji mkuu wa Senegal Dakar baada ya Rais Macky Sall kutangaza kuakhirisha kwa muda usiojulikana uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Februari 25, na hivyo kuzusha wasiwasi kimataifa.
-
Rais wa Senegal aakhirisha uchaguzi wa rais wa Februari 25 kwa muda usiojulikana
Feb 03, 2024 23:52Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza kuakhirisha kwa muda usiojulikana uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Februari 25, saa chache kabla ya kampeni rasmi kuanza.
-
Chama cha upinzani chataka kuakhirishwa uchaguzi wa rais Senegal
Feb 03, 2024 03:59Chama cha Democratic cha Senegal (PDS) kimewasilisha muswada Bungeni unaotaka kuakirishwa uchaguzi wa rais ulioratibiwa kufanyika baadaye mwezi huu.
-
Kiongozi wa upinzani Senegal aondolewa katika orodha ya wagombea urais
Jan 21, 2024 04:20Baraza la Katiba la Senegal Jumamosi lilichapisha orodha ya mwisho ya wagombea 20 wa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika nchini humo Februari 25 ambayo haiwajumuishi kiongozi wa upinzani aliyefungwa Ousmane Sonko, na Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Abdoulaye Wade.
-
Ousmane Sonko apatikana na hatia, hataruhusiwa kugombea urais Senegal
Jan 05, 2024 04:14Mahakama ya Juu ya Senegal imethibitisha hukumu iliyotolewa Mei mwaka jana na Mahakama ya Rufaa ya kifungo cha miezi sita jela dhidi ya kinara wa upinzani nchini humo, Ousmane Sonko, kwa kumkashifu Waziri wa Utalii, Mame Mbaye Niang.
-
Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais
Dec 15, 2023 07:02Mahakama Kuu mjini Dakar imeamuru kusajiliwa upya kwa Ousmane Sonko, kiongozi wa upinzani nchini Senegal katika daftari la wapigakura, na hivyo kumruhusu kuwa mgombea urais.
-
Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake
Nov 30, 2023 00:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Senegal katika nyuga mbalimbali.
-
Rais Macky Sall wa Senegal avunja serikali yake
Oct 07, 2023 03:55Rais Macky Sall wa Senegal amesaini dikrii ya kuivunja serikali yake, miezi michache kabla ya kumalizika hatamu yake ya uongozi.
-
Kiongozi wa upinzani Senegal alazwa hospitalini baada ya kususia kula kwa wiki nzima
Aug 07, 2023 08:11Kiongozi wa upinzani nchini Senegal ambaye amekuwa kwenye mgomo wa kula akipinga kuwekwa kizuizini, amelazwa hospitalini. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wafuasi wake.
-
Wahajiri 300 kutoka Senegal wahofiwa kufa maji wakielekea Uhispania
Jul 11, 2023 03:44Mamia ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti tatu walizokuwa wakisafiria kuelekea Uhispania kutoweka baharini.