-
Waislamu waliouawa na jeshi la Nigeria wakumbukwa katika 'Siku ya Mashahidi'
Apr 25, 2017 22:03Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha siku ya mashahidi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Wakristo waungana na Waislamu Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Zakzaky
Apr 12, 2017 02:55Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Waislamu Nigeria wafufua maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Apr 07, 2017 03:06Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mawakili wa Zakzaky wamwandikia barua Mwanasheria Mkuu, Waziri
Feb 28, 2017 04:19Mawakili wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamemuandikia barua Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria wa nchi hiyo, wakishinikiza kuachiwa huru msomi huyo wa Kiislamu pamoja na mkewe.
-
Polisi Nigeria wawafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa Sheikh Zakzaky
Jan 26, 2017 10:22Maafisa usalama nchini Nigeria wamewafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuzuiliwa kinyume cha sheria.
-
Viongozi wa Nigeria wang'ang'ania Sheikh Zakzaky afunguliwe mashtaka
Dec 06, 2016 12:22Licha ya Mahakama Kuu ya Nigeria kutoa amri ya kuitaka serikali ya shirikisho imwachie huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky, viongozi wa jimbo la Kaduna wangali wanashikilia kiongozi huyo wa kidini ashtakiwe na kuhukumiwa kifungo jela.
-
Mahakama ya Nigeria yaamuru Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Dec 02, 2016 12:26Mahakama nchini Nigeria imeiamuru serikali kumuachilia huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Sisitizo la Waislamu wa Nigeria la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Nov 23, 2016 00:47Wanaharakati wa jumuiya ya kiraia ya Nigeria wameitaka rasmi serikali ya nchi hiyo imuachilie huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kwa karibu mwaka mmoja sasa.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria yataka wananchi kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali
Nov 09, 2016 10:27Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewataka wananchi wa nchi hiyo kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali ya nchi hiyo ili kushinikiza suala la kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeendelea kushikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.
-
IHRC: Saudia inashiriki kukandamiza Harakati ya Kiislamu Nigeria
Oct 20, 2016 23:53Kamisheni ya Haki za Binadamu za Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London Uingereza imetangaza kuwa, nyaraka zilizofichuliwa na mtandao wa WikiLeaks zinathibitisha kwamba Saudi Arabia inashiriki katika kukandamiza Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.