-
Jeshi la Nigeria lawazingira Waislamu wa madehebu ya Shia katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Oct 12, 2016 04:24Jeshi la Nigeria limewazingria Waislamu wa madheebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini katika hafla ya maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Harakati ya Kiislamu yapigwa marufuku Kaduna, Nigeria
Oct 08, 2016 06:48Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna huku Waislamu wakiendelea kukandamizwa nchini humo.
-
Wanigeria waandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Aug 27, 2016 03:25Waislamu wa Nigeria wamendamana katika mji wa Kaduna ulioko kaskazini mwa nchi hiyo wakitaka kuachiwa huru mara moja kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa kwa miezi kadhaa sasa katika korokoro za nchi hiyo.
-
Familia: Afya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky sio nzuri
Jul 25, 2016 08:01Familia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, mwanachuoni na kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeeleza juu ya wasi wasi wake kuhusu hali ya kiafya ya msomi huyo wa Kiislamu.
-
Mwanafunzi wa Sh. Zakzaky: Serikali ya Nigeria ni kibaraka wa US na Israel
May 16, 2016 07:51Mmoja wa wanafunzi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema serikali ya Abuja ni kikaragosi wa Marekani na utawala haramu wa Israel na kwamba imefanya kosa la jinai kwa kuua Waislamu wa Zaria na kuendelea kumzuilia Sheikh Zakzaky.
-
Wanaharakati Uingereza waandamana dhidi ya Rais wa Nigeria, wataka kuachiwa Sh. Zakzaky
May 13, 2016 07:51Makundi ya waharakati wa kutetea haki za binadamu yamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza London kulalamikia dhuluma na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama vya Nigeria dhidi Waislamu wa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria liliwazika Waislamu kwa umati wakiwa hai
Apr 22, 2016 15:30Jeshi la Nigeria liliwaua mamia ya Waislamu nchini Nigeria na kuwazika katika kaburi la umati wakiwemo baadhi waliokuwa hai mwezi Desemba mwaka jana, imefichua Amnesty International.
-
Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru
Apr 21, 2016 06:49Kundi la wanaharakai wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya Waislamu Nigeria
Apr 14, 2016 05:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.
-
Kaburi la Umati la Waislamu lagundiliwa nchini Nigeria
Apr 13, 2016 04:23Karibu miili 350 ya Waislamu imepatikana ikiwa imezikwa kwa siri katika kaburi la umati kaskazini mwa Nigeria.