-
IMN: Serikali ya Nigeria inataka kumuua Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 17, 2019 09:22Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeashiria ukwamishaji matibabu uliofanywa na viongozi wa serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky alipokuwa nchini India na kueleza kwamba, hatua hizo zimeibua dhana kwamba, serikali ya Abuja inafanya njama za kumuua mwanaharakati huyo.
-
Njama ya serikali ya Nigeria; safari ya kitiba ya Sheikh Zakzaky yakatizwa
Aug 17, 2019 06:41Katika hali ambayo Waislamu wa Nigeria walikuwa na matumaini makubwa ya kutibiwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakayi ya Kiislamu ya Nigeria huko India, serikali ya Niigeria imetoa mashinikizo na kumlazimu sheikh huyo na mkewe kurea mjini Abuja.
-
Ayatullah Araki afanya mazungumzo na Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 15, 2019 05:50Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu mapema leo amefanya mazungumzo ya simu na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aliyepelekwa India kwa ajili ya matibabu.
-
Kuruhusiwa Sheikh Zakzaky kwenda India; matunda ya juhudi za Waislamu wa Nigeria
Aug 13, 2019 07:09Hatimaye juhudi za Waislamu wa Nigeria zimezaa matunda baada ya mahakama nchini Nigeria kuruhusu Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo asafiri kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu.
-
Iran yaunga mkono kuanza mchakato wa kumtibu kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Aug 13, 2019 06:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mchakato wa kuanza kumpatia matibabu Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kueleza kufurahishwa na hatua ya kuelekea India Sheikh Zakzaky na mkewe kwa ajili ya matibabu.
-
Madaktari wa nchi 7 waiandikia barua serikali ya Nigeria, wataka Sheikh Zakzaky apewe matibabu
Aug 11, 2019 22:14Makumi ya madaktari kutoka nchi 7 duniani wameiandikia barua serikali ya Nigeria wakikumbusha hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky na kutaka apewe matibabu haraka iwezakanavyo.
-
Harakati ya IMN yajibu mapigo, yasema itakabiliana na vizingiti vya serikali ya Abuja
Aug 01, 2019 02:55Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetangaza kuwa, itabadilisha mbinu zake za kufuatilia suala la kuachiwa huru kiongozi wake anayeendelea kushikiwa korokoroni kwa miaka kadhaa sasa, Sheikh Ibrahim Zakzaky, na kukabiliana na vizingiti na mbinyo wa serikali ya Abuja.
-
Kesi ya Sheikh Zakzaky yaakhirishwa hadi Agosti 5, mawakili wataka aachiwe huru kwa ajili ya matibabu
Jul 29, 2019 07:38Mahakama ya Nigeria leo imeakhirisha kikao cha kusikiliza kesi iliyowasilishwa kwa ajili ya kumwachia huru kwa dhamana kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo IMN, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye wafuasi wake wasiopungua 20 waliuawa juma lililopita wakiandamana kwa amani ili kuishinikiza serikali imwachie huru.
-
Mazishi ya wafuasi 6 wa Sheikh Zakzaky waliouliwa shahidi na wanajeshi wa Nigeria yafanyika mjini Abuja
Jul 25, 2019 02:35Shughuli ya kuviaga kwa ajili ya mazishi viwiliwili vya Waislamu sita waliouliwa shahidi katika shambulio la karibuni la wanajeshi wa Nigeria dhidi ya wafuasi wa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky, ilifanyika jana katika mji mkuu Abuja.
-
Guterres aombwa kufuatilia hali ya Sheikh Zakzaky ili apatiwe matibabu
Jul 24, 2019 22:08Wasomi na wanafikra 52 wamemwandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wakimtaka asaidie jitihada za kuwaondoa huko Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe Malam Zeenat ili waweze kupatiwa matibabu nje ya nchi haraka iwezekanavyo.