-
Waislamu 6 wafuasi wa Sheikh Zakzaky wauawa kwa kupigwa risasi, Abuja
Jul 23, 2019 04:22Wafuasi 6 wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa Nigeria mjini Abuja.
-
Mahakama yaakhirisha kutoa hukumu dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 22, 2019 07:59Mahakama Kuu katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria imeakhirisha kutoa hukumu ya kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Zakzaky
Jul 20, 2019 07:29Waislamu na wanaharakati nchini Nigeria jana Ijumaa waliendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo licha ya kukabiliwa kwa mkono wa chuma na maafisa usalama wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Nigeria yachunguza uwezekano wa kuruhusiwa Sheikh Zakzaky kutibiwa nje ya nchi
Jul 19, 2019 02:36Duru za kieneo zimetangaza kuwa, Mahakama Kuu ya Nigeria inachunguza uwezekano wa kuruhusiwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongbozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo kwenda kutibiwa nje ya nchi.
-
Maulamaa wa Iran waitaka Nigeria imuachie huru Sheikh Zakzaky
Jul 16, 2019 07:14Jumuiya ya Wanazuoni wa Hauza ya Kidini ya Qom hapa nchini Iran sambamba na kulaani kuendelea kushikiliwa korokoroni katika mazingira mabaya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi Nigeria, wameitaka serikali ya Abuja imuachie huru kiongozi huyo wa Waislamu ya madhehebu ya Shia.
-
Wanachuo wa Tehran wakusanyika kulalamikia kuendelea kushikiliwa korokoroni Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 15, 2019 11:24Wanachuo wa vyuo vikuu hapa mjini Tehran leo wamefanya mkusanyiko mkubwa kulalamikia kuendelea kushikiliwa korokoroni Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Msimamo wa Waislamu wa Nigeria wa kuendelea kufuatilia takwa la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 15, 2019 10:26Waislamu wa Nigeria wameendelea na maandamano yao katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Maandamano makubwa yafanyika Kano Nigeria ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jul 15, 2019 02:34Mji wa Kano nchini Nigeria jana (Jumapili) ulishuhudia maandamano makubwa ya kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa korokoroni kwa miaka kadhaa sasa.
-
Jeshi la Nigeria laendelea kuwashambulia wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 13, 2019 07:30Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimetumia risasi za vita dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo, waliomiminika barabarani jana Ijumaa kwa lengo la kushinikiza kuachiliwa kwake.
-
Wanaharakati mjini London, Uingereza wataka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jul 10, 2019 04:20Wanaharakati wa Kiislamu na wa haki za binadamu mjini London Uingereza wamelaani vikali kuendelea kushikiliwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria pamoja na mkewe na kutoa wito wa kuachiliwa huru wawili hao.