Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sheikh Ibrahim Zakzaky

  • Baraza la Taifa la Nigeria laahidi kufuatilia faili la Sheikh Zakzaky

    Baraza la Taifa la Nigeria laahidi kufuatilia faili la Sheikh Zakzaky

    Jul 09, 2019 11:24

    Baraza la Taifa la Nigeria limetangaza kuwa, lina mpango wa kufuatilia faili la Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa kororoni kwa miaka kadhaa sasa.

  • Iran yamuita balozi wa Nigeria nchini kuhusu hali ya Sheikh Zakzaky

    Iran yamuita balozi wa Nigeria nchini kuhusu hali ya Sheikh Zakzaky

    Jul 09, 2019 08:23

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi mdogo wa Nigeria hapa mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi pamoja na kumueleza wasiwasi wa taifa hili kuhusu ripoti zinazoashiria kuwa mbaya zaidi hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.

  • Rais wa Nigeria aonywa kuhusu hali ya kiafya ya Sheikh Zakzaky

    Rais wa Nigeria aonywa kuhusu hali ya kiafya ya Sheikh Zakzaky

    Jul 08, 2019 11:30

    Wanachama kadhaa wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamemuonya rais wa nchi hiyo kuhusu hali mbaya ya Kiafya ya kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Mtoto wa Sheikh Zakzaky: Hali ya kimwili na kiafya ya baba yangu ni mbaya

    Mtoto wa Sheikh Zakzaky: Hali ya kimwili na kiafya ya baba yangu ni mbaya

    Jul 08, 2019 03:20

    Mwana wa Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria ametahadharisha kupitia ujumbe aliotoa kwamba hali ya kimwili ya baba yake ni mbaya sana. Amesema karibu njia zote zimeshindikana kwa ajili ya kunusuru maisha yake.

  • Taasisi ya Haki za Binadamu ya Iran: UN inapaswa kuandaa mazingira ya kuachiliwa huru haraka Sheikh Zakzaky

    Taasisi ya Haki za Binadamu ya Iran: UN inapaswa kuandaa mazingira ya kuachiliwa huru haraka Sheikh Zakzaky

    Jul 06, 2019 11:02

    Taasisi ya Kimataifa ya Haki za Binadamu ya Solh-e Ziba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kuutaka umoja huo uandae haraka mazingira ya kuchiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ili aende akatibiwe nje ya nchi.

  • Waislamu wazidi kuandamana Nigeria kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Waislamu wazidi kuandamana Nigeria kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    May 29, 2019 11:16

    Maelfu ya wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja kushinikiza kuachiliwa huru haraka iwezekanavyo, mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Madaktari waruhusiwa kumfanyia uchunguzi wa kiafya Sheikh Ibrahm Zakzaky

    Madaktari waruhusiwa kumfanyia uchunguzi wa kiafya Sheikh Ibrahm Zakzaky

    Apr 27, 2019 02:42

    Hatimaye timu ya madaktari imeruhusiwa kumfanyia uchunguzi wa kiafya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye angali anashikiliwa kizuizini.

  • Sheikh Zakzaky ashindwa kufika mahakamani kutokana na hali mbaya ya kiafya

    Sheikh Zakzaky ashindwa kufika mahakamani kutokana na hali mbaya ya kiafya

    Mar 26, 2019 07:34

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky ameshindwa kufika mahakamani kutokana na kudorora hali yake ya afya.

  • IMN: Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumuua Sheikh Zakzaky

    IMN: Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumuua Sheikh Zakzaky

    Feb 07, 2019 07:26

    Harakati ya Kiislamu Nigeria (IMN) imetoa taarifa na kusema jeshi la nchi hiyo linapanga njama ya kumua kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa korokoroni.

  • Waislamu Nigeria waendelea kuandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Waislamu Nigeria waendelea kuandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Nov 29, 2018 03:10

    Wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS