-
Waislamu Nigeria waendelea kuandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Nov 28, 2018 23:40Wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
Waislamu Nigeria waendeleza maandamano kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe
Nov 17, 2018 23:15Waislamu nchini Nigeria wameendeleza maandamano katika mji mkuu, Abuja, kulalamikia kuendelea kushikiliwa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji yaliyofanywa na jeshi
Nov 14, 2018 04:50Waislamu Nigeria wameandamana nje ya ofisi za Tume ya Haki za Binaadamu katika mji mkuu Abuja, kulaani mauaji yaliyofanyika kati ya 27 hadi 30 Oktoba mwaka huu.
-
Amnesty International yakiri kuuawa kinyama Mashia wa Nigeria
Nov 01, 2018 01:09Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limevinyooshea kidole cha lawama vikosi vya usalama vya Nigeria likivituhumu kwamba, vimehusika na mauaji ya kinyama ya makumi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Wanigeria waandamana, waitaka serikali imwachie huru Sheikh Zakzaky
Oct 03, 2018 23:36Wananchi wa Nigeria wamefanya tena maandamano makubwa mjini Abuja wakitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mahakama ya Kaduna kusikiliza kesi ya Sheikh Zakzaky Oktoba 4
Aug 03, 2018 23:52Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna nchini Nigeria imetangaza kuwa, itasikiliza ombi la kuachiliwa huru kwa dhamana Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kkiislamu ya Nigeria.
-
Mashinikizo ya Saudia yapelekea Nigeria isimuachilie huru Sheikh Zakzaky
Jul 12, 2018 23:39Utawala wa Saudi Arabia unaishinikiza serikali ya Nigeria isimuachilie huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Sheikh Zakzaky hajulikani alipo, njia za mawasiliano zakatwa
May 20, 2018 02:51Harakati ya Kiislamu Nigeria imeeleza juu ya wasi wasi ilionao kuhusu uwepo wa kiongozi wao, Sheikh Ibrahim Zakzaky, na kubainisha kwamba njia ambazo zilikuwa zikitumiwa na familia na watu wa karibu naye kwa ajili ya mawasiliano zimekatwa.
-
Mtoto wa Sheikh Zakzaky: Sina taarifa ya hali ya wazazi wangu
May 17, 2018 03:26Mtoto wa kiume wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, hana taarifa zozote kuhusiana na hali ya baba, mama na kaka zake wanaoshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.
-
Sheikh Zakzaky apandishiwa kizimbani jimboni Kaduna
May 16, 2018 03:04Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna.