-
Afrika yalilia chanjo ya Monkeypox iliyoua watu 75 barani humo
Jul 30, 2022 03:43Afrika haina hata dozi moja ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox), licha ya kuwa bara pekee lililosajili vifo vilivyotokana na maradhi hayo.
-
WHO yaitangaza Monkeypox kuwa tishio la afya duniani
Jul 24, 2022 07:17Shirika la Afya Duniani WHO limeutangaza mripuko wa ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) kuwa tishio la afya duniani.
-
WHO yaitisha kikao cha dharura baada ya kesi za Monkeypox kupindukia 6,000
Jul 07, 2022 07:43Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha mkutano wa dharura kujadili ongezeko la maabukizi ya ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) katika pembe mbalimbali za dunia.
-
WHO: Karibu watu wote duniani wanavuta hewa chafu
Apr 05, 2022 07:23Shirika la Afya Duniani limesema karibu watu wote duniani wanavuta hewa chafu ambayo haikidhi viwango vya shirika hilo na hivyo wanakodolewa macho na magonjwa na hatari ya kifo.
-
WHO yatoa indhari kuhusu namna mataifa tajiri yanavyopambana na kirusi cha omicron
Dec 23, 2021 07:48Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom ameonya kuwa hatua ya mataifa tajiri kuanza kutoa dozi ya tatu kwa raia wao, inaendeleza ubaguzi wa upatikanaji wa chanjo kwa mataifa masikini, hatua ambayo amesema haitasaidia kumaliza janga la Covid 19, hasa wakati huu kirusi cha omicron kinapoendelea kusambaa duniani.
-
Kikao cha dharura cha WHO kuchunguza spishi mpya ya corona
Nov 26, 2021 10:37Kufuatia kugunduliwa spishi mpya ya corona kwa jina B.1.1.529 Shirika la Afya Duniani who limetangaza kuwa litaandaa kikao cha dharura leo Ijumaa kwa ajili ya kuchunguza spishi hiyo.
-
WHO: Vifo vya COVID-19 vimeongezeka katika nchi za Afrika, eneo la Magharibi ni kwa 193%
Aug 20, 2021 07:40Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, Afrika Magharibi imeorodhesha idadi kubwa zaidi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 tangu janga hilo lilipoanza huku nchi kadhaa za ukanda huo zikiwa zinakabiliwa na miripuko mingine ya kipindupindu, ugonjwa wa Ebola na ugonjwa wa Virusi vya homa ya Marburg ambayo inatishia kuongeza shinikizo katika uwezo wa utoaji huduma katika ukanda huo.
-
WHO kufanyia majaribio dawa za malaria, baridi yabisi kama tiba ya COVID-19
Aug 12, 2021 08:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema litafanyia majaribio dawa za ugonjwa wa malaria na aina fulani za saratani ili kuona iwapo zinaweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 au la.
-
WHO yakosoa nchi zinazowapiga watu 'dozi ya ziada' ya chanjo ya Corona
Aug 05, 2021 02:32Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametoa mwito wa kusimamishwa kampeni inayoendelezwa na baadhi ya nchi hususan za Ulaya ya kuwapiga wananchi wao chanjo ya ziada ya kuzuia virusi vya Corona, katika hali ambayo mamilioni ya watu duniani hawajapigwa hata chanjo ya kwanza.
-
Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku
Jun 19, 2021 05:12Shirika la Afya Duniani (WHO) limefichua kuwa, watu wasiopungua milioni 146 wanafariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayonasibishwa na matumizi ya tumbaku barani Afrika.