-
AU yalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza
Aug 08, 2022 07:28Umoja wa Afrika (AU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
AU yataka Sudan, Ethiopia ziache makabiliano ya kijeshi mpakani
Jun 30, 2022 08:12Kamisheni ya Umoja wa Afrika imetoa mwito kwa nchi za Sudan na Ethiopia kujizuia na kutochukua hatua yoyote inayoweza kushadidisha mivutano ya kijeshi katika eneo la al-Fashaqa, lililoko katika mpaka wa pamoja wa nchi mbili hizo jirani.
-
AU yataka uchunguzi wa mauaji ya makumi ya watu mpakani mwa Morocco, Uhispania
Jun 27, 2022 11:27Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya makumi ya wahajiri wa Kiafrika katika mpaka wa Morocco na Uhispania.
-
Jumatano tarehe 25 Mei 2022
May 25, 2022 03:12Leo ni Jumatano tarehe 23 Shawwal 1443 Hijria sawa na tarehe 25 Mei mwaka 2022.
-
Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine
Feb 25, 2022 14:47Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kusimamishwa haraka iwezekanavyo mgogoro wa Ukraine.
-
Iran: Uamuzi wa AU kuisimamishia Israel uanachama ni wa hekima, sahihi
Feb 08, 2022 07:57Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mtazamaji ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo ya kibara.
-
AU yatiwa wasi wasi na jaribio la mapinduzi Guinea-Bissau
Feb 03, 2022 02:31Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat amesema AU imesikitishwa mno na jaribio la mapinduzi lililofeli katika nchi nyingine ya Afrika Magharibi ya Guinea-Bissau.
-
AU yataka pande hasimu za kisiasa Somalia zifanye mazungumzo
Jan 01, 2022 03:01Umoja wa Afrika umetoa mwito kwa Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo wa Somalia na Waziri Mkuu wa nchi hiyo aliyesimamishwa kazi hivi karibuni, Mohamed Hussein Roble kufanya mazungumzo haraka iwezekanavyo, baada ya wawili hao kutofautiana vikali wakati huu wa kuendelea uchaguzi wa bunge.
-
Namibia pia yalaani kuruhusiwa Israel kuwa mwanachama wa AU
Jul 30, 2021 12:43Namibia imelalamikia vikali kitendo cha kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika (AU).
-
Jumatatu, 25 Mei, 2020
May 25, 2020 03:54Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Mosi Shawwal 1441 Hijria mwafaka na tarehe 25 Mei 2020 Miladia.