Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Refa bora wa Kisomali aliyezuiwa kuingia Marekani alakiwa kishujaa nyumbani

    Refa bora wa Kisomali aliyezuiwa kuingia Marekani alakiwa kishujaa nyumbani

    Jun 10, 2026 10:43

    Omar Abdulkadir Artan mwamuzi mashuhuri wa kandanda kutoka Somalia amelakiwa kishujaa wakati alipowasili nchini humo hii leo baada ya kuzuiwa kuingia Marekani; uamuzi ambao umemzuia kuchezesha katika mashindano ya Kombe la Dunia la Kandanda la FIFA mwaka huu.

  • Jeshi la Somalia lamuuwa kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab

    Jeshi la Somalia lamuuwa kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab

    Jun 02, 2026 02:51

    Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limewaua wanachama wawili wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, akiwemo kamanda mwandamizi, katika operesheni ya kijeshi iliyopangwa katika eneo la Hanti Wadaag, mkoani Lower Shabelle.

  • Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yakemea mpango wa ‘Somaliland’ kufungua ubalozi katika al-Quds inayokaliwa kwa mabavu

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yakemea mpango wa ‘Somaliland’ kufungua ubalozi katika al-Quds inayokaliwa kwa mabavu

    May 21, 2026 13:00

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imekosoa vikali uamuzi wa eneo la Somaliland lililojitenga na Somalia wa kufungua ubalozi katika mji mtakatifu wa al Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel, ikisema hatua hiyo “haikubaliki kabisa.”

  • Vijana wa Kisomali wachukua udhibiti wa  meli ya mafuta

    Vijana wa Kisomali wachukua udhibiti wa meli ya mafuta

    Apr 25, 2026 11:23

    Taarifa zinasema meli ya mafuta iliyokuwa imebeba mapipa 18,500 ya mafuta na wafanyakazi 17 katika pwani ya kaskazini mashariki Somalia imechukuliwa na vijana wa Kisomali.

  • Israel na Somaliland: Njama ya kudhibiti Bab al Mandeb

    Israel na Somaliland: Njama ya kudhibiti Bab al Mandeb

    Apr 23, 2026 09:59

    Tarehe 26 Desemba, 2025, Israel ililitambua eneo lililotangaza kujitenga na Somalia la Somaliland kama taifa huru; licha ya kwamba, katika upeo wa kimataifa, eneo hilo inaendelea kutambuliwa kuwa sehemu ya Somalia.

  • Somalia yazuia meli za Israel kupita Bab al-Mandab

    Somalia yazuia meli za Israel kupita Bab al-Mandab

    Apr 23, 2026 09:47

    Somalia imepiga marufuku meli za utawala wa Israel kupita katika mlango‑bahari wa kimkakati wa Bab al‑Mandab kama jibu kwa hatua ya utawala huo ya kulitambua rasmi eneo lililotangaza kujitenga na Somalia la “Somaliland”.

  • Iran yailaani Israel kwa kukiuka mamlaka ya kitaifa ya Somalia

    Iran yailaani Israel kwa kukiuka mamlaka ya kitaifa ya Somalia

    Apr 21, 2026 08:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya utawala wa kizayuni wa Israel ya kuteua mjumbe wa kidiplomasia huko Somaliland ni ishara wazi ya njama ya utawala huo ya kuvuruga amani na utulivu na kuchochea migawanyiko baina ya nchi za Kiislamu na za Kanda hiyo.

  • Takriban watu milioni 6.5 wanakabiliwa na njaa kali kutokana na ukame ulioikumba Somalia

    Takriban watu milioni 6.5 wanakabiliwa na njaa kali kutokana na ukame ulioikumba Somalia

    Feb 25, 2026 00:57

    Serikali ya Somalia na Umoja wa Mataifa zimetangaza kuwa wananchi wa Somalia wasiopungua milioni 6.5 wanakabiliwa na njaa kali kutokana na ukame ulioiathiri nchi hiyo.

  • Somalia yalaani shambulio la mauaji katika jimbo la Zamfara, Nigeria

    Somalia yalaani shambulio la mauaji katika jimbo la Zamfara, Nigeria

    Feb 23, 2026 07:06

    Somalia leo imelaani vikali shambulio la umwagaji damu katika jimbo la Zamfara kaskazini magharibi mwa Nigeria lililouwa raia wasiopungua 50. Wanawake na watoto pia walitekwa nyara katika hujuma hiyo ya kigaidi.

  • Somalia kuanza kutoa pasipoti za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Somalia kuanza kutoa pasipoti za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Feb 17, 2026 07:51

    Somalia inatarajiwa kuanza kutoa hati ya kusafiria ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa raia wake; ikiungana na nchi nyingine wanachama katika kutumia hati ya kusafiria ya kikanda.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS