-
Wanajeshi 4, magaidi 18 wauawa katika mapigano baada ya walinda amani wa Somalia na AU kuzima shambulio la al-Shabaab
Jul 26, 2025 11:51Wanajeshi wanne wameuawa na wengine saba kujeruhiwa katika mapigano na kundi la kigaidi la al-Shabaab baada ya shambulio lao kuzimwa na jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle ambapo magaidi 18 wameuawa.
-
Maelfu wahamishwa baada ya Al-Shabab kudhibiti mji katikati mwa Somalia
Jul 15, 2025 16:22Afisa mmoja wa jeshi la Somalia ametangaza kuwa, wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wameuteka mji wa Tardo katika eneo la Hiiran katikati ya nchi hiyo.
-
Magaidi 13 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi Somalia
Jul 11, 2025 15:55Shirika la kitaifa la ujasusi na usalama la Somalia (NISA) jana Ijumaa lilisema kuwa lmeifanya operesheni tatu zilizoratibiwa katika eneo la Shabelle ya Kati, na kuua takriban wanachama 13 wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab, wakiwemo wapiganaji na makamanda wake.
-
Jumanne tarehe Mosi Julai, 2025
Jul 01, 2025 02:31Leo ni Jumanne tarehe 05 Muharram 1447 Hijria sawa na Julai Mosi mwaka 2025.
-
Jeshi la Somalia laangamiza makamanda kadhaa wa al-Shabaab
Jun 09, 2025 02:50Makamanda watatu waandamizi wa kundi la kigaidi la al-Shabab walioendesha wimbi la mashambulizi mabaya nchini Somalia katika miezi ya karibuni wameuawa katika operesheni ya pamoja ya usalama.
-
Somalia yazindua mpango wa chanjo nchi nzima ili kukabiliana na surua, polio na nimonia
May 19, 2025 11:51Somalia leo Jumatatu imezindua kampeni ya chanjo ya kitaifa ili kukabiliana na magonjwa ya surua, polio na nimonia. Kampeni hiyo ya chanjo imekusudia kuwafikia watoto zaidi ya milioni 3 nchini humo.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi karibu 50 wa al-Shabaab katika mashambulizi 2
Apr 17, 2025 12:49Jeshi la Somalia limewauwa magaidi 47 wa al-Shabaab katika mashambulizi mawili tofauti leo Alkhamisi, likiwemo lile la Aadan Yabaal katika eneo la Shabelle ya Kati, mji wa kimkakati uliotwaliwa na kundi hilo la kigaidi lenye mfungamano na al-Qaeda jana.
-
Jumanne, 25 Machi, 2025
Mar 25, 2025 02:17Leo ni Jumanne tarehe 24 Ramadhani 1446 Hijria, sawa na tarehe 25 Machi, 2025.
-
AU yalaani shambulio dhidi ya msafara wa Rais wa Somalia
Mar 20, 2025 03:11Somalia na Umoja wa Afrika (AU) zimelaani shambulizi la kigaidi lililolenga msafara wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud huko Mogadishu, mji mkuu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia pia yapinga pendekezo la US kuhusu Wapalestina wa Gaza
Mar 15, 2025 07:10Serikali ya Somali imepinga vikali pendekezo la Marekani la kuwapa makazi Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kwenye ardhi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.