-
Watu 74 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea Somalia
Feb 07, 2023 03:41Watu wapatao 34 wameuawa katika mapigano ya umwagaji damu yaliyotokea kati ya wanajeshi wa Somalia na wanamgambo katika eneo la Somaliland.
-
Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama
Feb 06, 2023 22:56Serikali ya Kenya imetangaza kufungua tena mpaka wa nchi kavu wa nchi hiyo na Somalia kwa lengo la kuboresha hali ya usalama katika mipaka hiyo.
-
Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua "hatua ya mwisho" ya kulimaliza kundi la Al-Shabaab
Feb 02, 2023 03:53Viongozi wa Somalia na nchi jirani wameahidi katika mkutano wa kilele uliofanyika jana Jumatano katika mji mkuu Somalia, Mogadishu, "kuchukua hatua za mwisho" dhidi ya kundi la Al-Shabaab.
-
Nchi za Afrika kutoa mafunzo kwa askari wa Somalia kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Feb 01, 2023 08:35Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imetuma maelfu ya wanajeshi katika nchi jirani kwa ajili ya kupata mafunzo yatakayowawezesha kupambana na kundi la kigaidi la al Shabaab.
-
AU: Tunaridhishwa na mafanikio ya SNA katika vita dhidi ya al-Shabaab
Jan 19, 2023 06:49Umoja wa Afrika umesema kwamba umetiwa matumaini na stratejia inayotumia na Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) katika operesheni zake za kulisambaratisha kundi la kigaidi la al-Shabaab, haswa kwa kutilia maanani mafanikio makubwa liliyoyapata katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kistratejia katika ngome ya al-Shabaab
Jan 17, 2023 09:41Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kuukomboa mji wa kistratejia wa Harardhere, moja ya ngome za kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na Bahari Hindi.
-
Rais wa Somalia awataka raia wawafurushe 'kunguni' wa al-Shabaab
Jan 14, 2023 00:19Rais wa Somalia ametoa mwito kwa raia wa nchi hiyo waunge mkono jitihada za vyombo vya usalama za kupambana na ugaidi kwa kuwatimua wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab aliowataja kuwa 'makunguni'.
-
Magaidi 61 wa al-Shabaab waangamizwa na maafisa usalama Somalia
Jan 10, 2023 04:28Somalia imetangaza habari ya kuuawa kwa magaidi 61 wa genge la al-Shabaab kusini mwa nchi, huku vikosi vya usalama vya nchi hiyo ya Pembe ya Afya vikishadidisha operesheni zao dhidi ya wanamgambo hao.
-
Mashambulio ya kikatili ya Marekani yaongezeka nchini Somalia
Jan 09, 2023 23:04Tovuti moja ya nchini Marekani imetangaza habari ya kuongezeka mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Somalia wakati wa urais wa "Joe Biden" na mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Waliouawa katika mashambulio ya kigaidi Somalia wapindukia 30
Jan 05, 2023 03:36Idadi ya wahanga wa milipuko miwili ya mabomu katika mji wa Mahas katikati ya Somalia imeongezeka na kufikia watu 30.