-
AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia
Nov 30, 2022 10:57Umoja wa Afrika umesema vitendo vya hivi karibuni vya kundi la kigaidi la al-Shabaab vya kuwalenga raia wasio na hatia katika mashambulizi yao vinaashiria namna genge hilo lilivyopoteza udhibiti wa ngome zake, kutokana na operesheni za Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) na waitifaki wake.
-
Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa
Nov 29, 2022 07:53Vikosi vya usalama vya Somalia vimevamia hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu ili kumaliza mzingiro wa siku moja wa wapiganaji wa al-Shabab ambao waliwaua watu tisa kwenye jengo lililoko karibu na makazi ya rais katika mji huo.
-
Jeshi la Somalia lawaangamiza magaidi 100 wa al Shabab
Nov 27, 2022 06:45Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imewaangamiza magaidi wa kundi la al Shabab wapatao 100 wakiwemo viongozi 10 wa kundi hilo la kigaidi katika oparesheni iliyofanywa na jeshi kusini mwa nchi.
-
Wanamgambo wa al-Shabab washambulia kambi ya jeshi nchini Somalia
Nov 07, 2022 12:43Kundi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab limeshambulia kambi moja ya jeshi katikati ya mji wa Galgaduud nchini Somalia.
-
Watu 15 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Nov 06, 2022 07:34Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulio jingine la kigaidi lililolenga kambi ya mafunzo ya kijeshi karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Magaidi 17 wa al-Shabaab wauwa katika operesheni mpya Somalia
Oct 27, 2022 08:07Vyombo vya intelejensia vya Somalia vikishirikiana na vya kimataifa vimeangamiza wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab.
-
Magaidi zaidi 100 wa Al-Shabaab waangamizwa Somalia
Oct 26, 2022 02:32Serikali ya Somalia imetangaza kuwa magaidi zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Al-Shabaab wameangamizwa kusini mwa nchi hiyo.
-
UN yataka kuzidishwa haraka misaada ya kibinadamu huko Somalia
Oct 23, 2022 04:35Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetoa wito wa kuzidishwa misaada ya kibinadamu ya haraka kwa ajili ya Somalia.
-
Ijumaa tarehe 21 Oktoba, mwaka 2022
Oct 21, 2022 02:27Leo ni Ijumaa tarehe 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Oktoba mwaka 2022.
-
Mjumbe wa Somalia: Uingereza imepoteza nafasi yake, suala hilo linaathiri mapambano dhidi ya njaa
Oct 15, 2022 04:30Abdirahman Abdishakur Warsame mjumbe wa Rais wa Somalia anayehusika na mapambano dhidi ya ukame nchini humo amesema kuwa, Uingereza imepoteza nafasi yake ya uongozi duniani na kuwaangusha nchi waitifaki wake.