-
FAO: Watu milioni 1.9 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula Somalia
Dec 21, 2022 08:35Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, watu milioni 1.9 nchini Somalia wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na kwamba, kuna haja ya kupelekewa haraka misaada ya chakula.
-
AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia
Nov 30, 2022 07:27Umoja wa Afrika umesema vitendo vya hivi karibuni vya kundi la kigaidi la al-Shabaab vya kuwalenga raia wasio na hatia katika mashambulizi yao vinaashiria namna genge hilo lilivyopoteza udhibiti wa ngome zake, kutokana na operesheni za Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) na waitifaki wake.
-
Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa
Nov 29, 2022 04:23Vikosi vya usalama vya Somalia vimevamia hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu ili kumaliza mzingiro wa siku moja wa wapiganaji wa al-Shabab ambao waliwaua watu tisa kwenye jengo lililoko karibu na makazi ya rais katika mji huo.
-
Jeshi la Somalia lawaangamiza magaidi 100 wa al Shabab
Nov 27, 2022 03:15Serikali ya Somalia imetangaza kuwa imewaangamiza magaidi wa kundi la al Shabab wapatao 100 wakiwemo viongozi 10 wa kundi hilo la kigaidi katika oparesheni iliyofanywa na jeshi kusini mwa nchi.
-
Wanamgambo wa al-Shabab washambulia kambi ya jeshi nchini Somalia
Nov 07, 2022 09:13Kundi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab limeshambulia kambi moja ya jeshi katikati ya mji wa Galgaduud nchini Somalia.
-
Watu 15 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Nov 06, 2022 04:04Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulio jingine la kigaidi lililolenga kambi ya mafunzo ya kijeshi karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Magaidi 17 wa al-Shabaab wauwa katika operesheni mpya Somalia
Oct 27, 2022 04:37Vyombo vya intelejensia vya Somalia vikishirikiana na vya kimataifa vimeangamiza wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab.
-
Magaidi zaidi 100 wa Al-Shabaab waangamizwa Somalia
Oct 25, 2022 23:02Serikali ya Somalia imetangaza kuwa magaidi zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Al-Shabaab wameangamizwa kusini mwa nchi hiyo.
-
UN yataka kuzidishwa haraka misaada ya kibinadamu huko Somalia
Oct 23, 2022 01:05Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetoa wito wa kuzidishwa misaada ya kibinadamu ya haraka kwa ajili ya Somalia.
-
Ijumaa tarehe 21 Oktoba, mwaka 2022
Oct 20, 2022 22:57Leo ni Ijumaa tarehe 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Oktoba mwaka 2022.