Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • AU: Tuko tayari kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa Somalia

    AU: Tuko tayari kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa Somalia

    Apr 22, 2021 22:02

    Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limesema liko tayari kuandaa na kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa unaoikabili Somalia.

  • Nigeria yatuma makumi ya askari polisi wake nchini Somalia

    Nigeria yatuma makumi ya askari polisi wake nchini Somalia

    Apr 19, 2021 03:17

    Kikosi cha askari polisi 144 wa Nigeria kimewasili nchini Somalia, kwenda kupiga jeki jitihada za kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Jeshi la Somalia lachukua udhibiti wa ngome za magaidi wa al-Shabab

    Jeshi la Somalia lachukua udhibiti wa ngome za magaidi wa al-Shabab

    Apr 08, 2021 08:42

    Jeshi la Somalia (SNA) limetangaza kuchukua udhibiti wa kambi kadhaa za kundi la kigaidi la al-Shabab huko Galgaduud, katikati mwa Somalia.

  • Viongozi wa Somalia washindwa kukubaliana juu ya ajenda ya mkutano muhimu wa uchaguzi

    Viongozi wa Somalia washindwa kukubaliana juu ya ajenda ya mkutano muhimu wa uchaguzi

    Apr 05, 2021 08:24

    Viongozi wa Somalia wameshindwa kufikia makubaliano juu ya ajenda kuu ya mkutano muhimu wa uchaguzi, suala ambalo limedhihirisha tena ufa uliopo kati ya makundi ya kisiasa ya Somalia.

  • Magaidi 76 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia

    Magaidi 76 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia

    Apr 04, 2021 06:32

    Jeshi la Somalia limesema kuwa limeangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika operesheni ya kiusalama kusini mwa Somalia.

  • Askari wa Somalia wazima hujuma za al-Shabaab dhidi ya kambi za jeshi

    Askari wa Somalia wazima hujuma za al-Shabaab dhidi ya kambi za jeshi

    Apr 03, 2021 05:12

    Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza kuwa, askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kuzima mashambulio ya kundi la kigaidi la al-Shabaab yaliyolenga kambi mbili za kijeshi kusini mwa nchi.

  • Katibu Mkuu wa UN ana wasiwasi kuhusu mkwamo wa kisiasa Somalia

    Katibu Mkuu wa UN ana wasiwasi kuhusu mkwamo wa kisiasa Somalia

    Mar 26, 2021 03:22

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mkwamo wa kisiasa unaondelea nchini Somalia kuhusu uchaguzi mkuu licha ya kufanyika duru kadhaa za majadiliano miongoni mwa wadau wa kisiasa nchini humo katika ngazi zote ni suala linalomtia wasiwasi mkubwa.

  • Raia kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la kombora mjini Mogadishu, Somalia

    Raia kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la kombora mjini Mogadishu, Somalia

    Mar 25, 2021 22:26

    Raia wasiopungua watatu wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa baada ya makombora kadhaa kulenga ofisi kuu za vikosi vya Umoja wa Mataifa na vya Umoja wa Afrika vinavyolinda amani nchini Somalia (AMISOM) zilizoko katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.

  • Alkhamisi, 25 Machi, 2021

    Alkhamisi, 25 Machi, 2021

    Mar 24, 2021 21:56

    Leo ni Alkhamisi tarehe 11 ya mwezi Shaaban 1442 Hijria mweafaka na tarehe 25 Machi 2021 Miladia.

  • Somalia yazindua kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo ya Corona

    Somalia yazindua kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo ya Corona

    Mar 17, 2021 01:10

    Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo wa Somalia hapo jana alipokea chanjo ya Corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza, kuashiria kuanza kwa kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo ya Corona katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS