-
Umoja wa Mataifa walalamikia utendaji mbaya wa serikali ya Sudan katika jimbo la Darfur
Jun 22, 2018 09:30Umoja wa Mataifa umelalamikia utendaji mbaya wa serikali ya Sudan katika jimbo la Darfur na kueleza kwamba, Khartoum imekuwa ikikwamisha mambo.
-
Tahadhari kuhusu harakati za Israel huko Darfur
Jun 16, 2018 21:03Harakati ya Kongresi ya Taifa Ya Sudan imetahadharidha kuhusu uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuzusha machafuko na ghasia kwenye eneo la Darfur.
-
Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini
Jun 14, 2018 03:31Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amekubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, wiki ijayo nchini Ethiopia.
-
Alkhamisi, Juni 14, 2018
Jun 13, 2018 21:50Leo ni tarehe 29 Ramadhani 1439 Hijria sawa na Juni 14, 2018.
-
Serikali ya Sudan yatakiwa kuondoa wanajeshi wake nchini Yemen
Jun 11, 2018 09:37Katibu Mkuu wa chama cha Kongresi ya Wananchi cha Sudan ameitaka serikali ya nchi hiyo kuwarejesha nyumbani wanajeshi wa Sudan wanaoshiriki katika mashambulizi ya kivamizi nchini Yemen.
-
Sudan yatetea na kuhalalisha kushiriki kwake katika mauaji ya wananchi wa Yemen + Picha
May 28, 2018 22:48Waziri wa Ulinzi wa Sudan Luteni Jenerali Awad Mohamed Ahmed Ibn Auf amesema, kwa mtazamo wa kimaadili ni wajibu kwa nchi hiyo kutuma wanajeshi wake Yemen ili kuusaidia utawala wa Aal Saud katika vita dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Umoja wa Afrika waitisha mkutano kujadili mgogoro wa mpakani wa Sudan na Sudan Kusini
May 23, 2018 23:39Umoja wa Afrika utafanya mkutano kati ya Sudan na Sudan Kusini kwa lengo la kutatua mgogoro kuhusu eneo la mpakani la Abyei.
-
Sudan yalalamikia udhalilishaji wa Misri
May 20, 2018 22:04Uhusiano baina ya Misri na Sudan umezidi kuharibika baada ya Khartoum kuilalamikia Cairo kuwa inafanya udhalilishaji dhidi yaWamisri waishio nchini Sudan.
-
Serikali ya Sudan yaendela kushinikizwa kuwarejesha nyumbani wanajeshi wake wanaouawa Yemen
May 16, 2018 23:55Muungano mpya nchini Sudan unaojulikana kwa jina la "Harakati ya Umoja wa Kitaifa" umeitaka serikali ya nchi hiyo iwarejeshe nyumbani wanajeshi iliowatuma nchini Yemen.
-
UN yataka kuongezwa misaada ya kibinadamu nchini Sudan
May 16, 2018 09:10Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kuongeza misaada ya kibinadamu kwa Sudan kutokana na hali ya kimaisha kuzidi kuwa mbaya nchini humo.