-
Khartoum yaituhumu Addis Ababa kuwanyonga wafungwa wa Sudan na kuonyesha miili yao
Jun 27, 2022 22:21Jeshi la Sudan limelitumu jeshi la Ethiopia kuwa limewanyonga wanajeshi 7 na raia mmoja wa Sudan waliokuwa wafungwa nchini humo, jambo ambalo limekanushwa na maafisa rasmi wa Ethiopia, wakieleza kuwa Addis Ababa itatoa tamko rasmi la kujibu madai hayo ya Sudan.
-
Mvutano baina ya Ethiopia na Sudan: Jeshi la Ethiopia latuhumiwa kuwaua Wasudan wanane
Jun 27, 2022 03:26Sudan imesema, jeshi la Ethiopia limeua raia wanane wa nchi hiyo.
-
UN: Thuluthi moja ya Wasudan wanakabiliwa na njaa
Jun 17, 2022 06:52Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema zaidi ya asilimia 30 ya wananchi wa Sudan wanasumbuliwa na mgogoro mkubwa wa chakula uliosababishwa na mabadiliko ya tabianchi, mzozo wa kisiasa na kupanda bei za chakula katika soko la dunia.
-
UN: Mauaji mapya ya kikabila nchini Sudan yameua watu 145
Jun 15, 2022 07:19Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliouawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila huko Sudan imeongezeka na kufikia 145.
-
Jumanne, Juni 14, 2022
Jun 13, 2022 20:45Leo ni Jumanne mwezi 14 Mfunguo Pili Dhulqaad, 1443 Hijiria inayosadifiana na 14 Juni 2022 Milaadia.
-
Idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan yafikia 100
Jun 13, 2022 03:28Imeelezwa kuwa, idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya kikabila ya hivi karibuni huko Darfur magharibi Sudan imeongezeka na kufikia wahanga 100.
-
Watu wasiopungua 27 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan
Jun 07, 2022 23:09Watu wasiopungua 27 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika mapigano yaliyotokea kwenye maeneo ya magharibi na kusini ya Sudan.
-
Mtaalamu wa UN ataka kuharakishwa uchunguzi wa mauaji ya baada ya mapinduzi ya kijeshi Sudan
Jun 05, 2022 03:36Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu nchini Sudan ametaka kuharakishwa uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji pamoja na jinai zingine zilizofanywa katika nchi hiyo, huku idadi ya vifo vilivyotokea tangu yalipofanyika mapinduzi ya kijeshi mwaka uliopita ikikaribia watu 100.
-
Makundi ya kisiasa Sudan yabeza kuondolewa sheria ya hali ya hatari
Jun 04, 2022 08:18Makundi mbalimbali ya kisiasa nchini Sudan likiwemo la muungano wa vyama vya wafanyakazi yamesema, kufutwa sheria ya hali ya hatari nchini humo hakuna faida yoyote kwa sababu ukatili na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama ungali unaendelea.
-
Genge lenye silaha lashambulia kambi ya wakimbizi nchini Sudan
May 08, 2022 21:54Genge moja lenye silaha limevamia na kushambulia kambi moja ya wakimbizi katika jimbo la Darfur la magharibi mwa Sudan na kuua na kujeruhi watu wasiopungua 7.