-
Wanafunzi wa vyuo vikuu Sudan wataka walioanzisha mapigano Blue Nile wahukumiwe
Oct 29, 2022 23:34Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu katika jimbo la Blue Nile nchini Sudan imefanya mgomo katika vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu mjini Khartoum ikitaka kusitishwa mapigano katika jimbo hilo.
-
Watu 230 wauawa, 200 wajeruhiwa katika mapigano ya kikabila Sudan
Oct 27, 2022 04:28Waziri wa Afya wa Sudan amesema watu wasiopungua 230 wameuawa huku wengine zaidi ya 200 wakijeruhiwa katika mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya vijiji kadhaa vya jimbo la Blue Nile, kusini magharibi mwa nchi.
-
Wasudani waendeleza mandamano kupinga utawala wa kijeshi
Oct 26, 2022 04:07Maandamano makubwa dhidi ya serikali ya kijeshi nchini Sudan kwa mara nyingine tena yamesababisha mapigano makali kati ya askari usalama na waandamanaji.
-
Wasudani wapinga mwenendo wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 17, 2022 07:30Katika kikao kinachofanyika mjini Khartoum kuhusu suala la Palestina, makundi ya Kiislamu ya Sudan yametahadharisha kuhusu hatua ya Waarabu ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
14 wauawa, kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan
Oct 16, 2022 08:03Kwa akali watu watano wameuawa huku wengine tisa wakijeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila katika eneo la Kordofan Magharibi nchini Sudan.
-
Al-Burhan: Inawezekana kufikia makubaliano kuhusu Bwawa la Renaissance
Oct 16, 2022 03:28Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan ambaye pia ni kamanda wa jeshi la nchi hiyo amesema, kuna uwezekano wa kufikiwa mapatano kuhusu Bwawa na Renaissance.
-
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua yaua watu zaidi ya 130 nchini Sudan
Sep 17, 2022 03:03Watu 134 wamepoteza maisha nchini Sudan baada ya kusombwa na maji kufuatia mafuriko makubwa yanayosababishwa na mvua kali inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Sudan yachapisha rasimu ya katiba mpya
Sep 13, 2022 03:44Serikali ya ya Sudan imechapisha rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo kwa lengo la kuunda mfumo wa kidemokrasia wa mpito ili kukomesha mgogoro uliopo nchini humo.
-
Al-Burhan: Taasisi za kiraia zisiingilie masuala ya jeshi la Sudan
Sep 07, 2022 22:20Mkuu wa baraza tawala la Sudan ameonya kuhusu uingiliaji wowote wa makundi ya kiraia ya nchi hiyo katika taasisi ya kijeshi.
-
Viongozi wa upinzani Sudan wasisitiza kuunga mkono maandamano ya wananchi
Sep 03, 2022 07:03Viongozi wa harakati na makundi ya uhuru na mageuzi nchini Sudan wamesisitiza kuwa, wanaunga mkono maandamano ya amani ya wananchi wa nchi hiyo kwa ajili ya kuuangusha utawala wa kijeshi unaoongozwa na jenerali Abdul-Fattah al-Burhan.