-
Spika wa zamani wa Bunge la Sudan atiwa nguvuni
Jul 28, 2020 01:21Askari usalama wa Sudan wamemtia nguvuni spika wa zamani wa Bunge la nchi hiyo.
-
Watu 60 wauawa Darfur, Sudan, waziri mkuu atuma wanajeshi
Jul 27, 2020 03:22Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 60 wameuawa katika mapigano mapya ambayo yamejiri katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Wasudani waandamana tena dhidi ya serikali, wapinga marekebisho ya sheria
Jul 26, 2020 02:04Maelfu ya Wasudani wamefanya maandamano wakipinga marekebisho ya sheria za nchi yaliyofanywa na serikali ya mpito ya nchi hiyo na kupiga nara zinazoipinga serikali hiyo.
-
Sudan yagundua kaburi la halaiki la wanajeshi inaoaminika waliuliwa na utawala wa al-Bashir
Jul 24, 2020 03:45Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka Sudan imesema, imegundua kaburi la halaiki ambalo inaaminika lina mabaki ya miili ya maafisa 28 wa jeshi waliouliwa mwaka 1990 kwa tuhuma za kuandaa mapinduzi ya kijeshi ya kuung'oa utawala wa rais wa wakati huo Omar Hassan al-Bashir.
-
Al Bashir kupandishwa kizimbani leo, huwenda akahukumiwa kifo
Jul 21, 2020 03:43Rais wa zamani wa Sudan na wenzake 16 wanapandishwa kizimbani leo katika mahakama maalumu ya Khartoum kwa tuhuma za kufanya mapinduzi dhidi ya serikali iliyokuwa imechaguliwa na wananchi hapo mwaka 1989.
-
Mamluki 160 wakamatwa Sudan wakielekea Libya kupigana vita
Jul 17, 2020 10:14Sudan imesema, imewatia nguvuni watu 160 wakiwemo raia wa kigeni ambao walikuwa mbioni kuelekea Libya kwa lengo la kupigana kama mamluki katika vita vya ndani vya nchi hiyo.
-
Mamia waandamana mbele ya ubalozi wa Imarati mjini Khartoum, wapinga kupelekwa Wasudan Libya kupigana
Jul 14, 2020 22:56Mamia ya Wasudani wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Imarati mjini Khartoum wakipinga harakati za nchi hiyo za kuwaajiri vijana wa Kisudani na kuwapeleka kupigana vita kwa niaba nchini Libya kama mamluki.
-
Mgogoro wa bwawa la al Nahdha ungali unazitesa Misri, Sudan na Ethiopia
Jul 13, 2020 03:03Wizara ya Umwagiliaji Maji ya Misri imetangaza habari ya kuendelea mgogoro baina ya nchi hiyo na Sudan na Ethiopia katika siku ya kumi ya mazungumzo ya nchi hizo tatu kuhusu bwawa la al Nahdha.
-
Mawaziri wanne muhimu wa serikali ya mpito Sudan wapigwa kalamu nyekundu
Jul 09, 2020 21:56Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok amewabadilisha mawaziri wanne na maafisa wengine waandamizi watatu wanaoongoza wizara za serikali ikiwa ni sehemu ya mabadiliko makubwa aliyotangaza kuyafanya katika baraza la mawaziri la serikali hiyo ya mpito anayoiongoza.
-
Serikali ya mpito Sudan yampiga kalamu nyekundu Mkuu wa Jeshi la Polisi na Naibu wake
Jul 06, 2020 06:21Serikali ya mpito ya Sudan imetangaza kuwa imemwachisha kazi mkuu wa jeshi la Polisi na naibu wake, siku chache baada ya kufanyika maandamano makubwa ya kutaka hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya maafisa wenye mfungamano na aliyekuwa rais wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani, Omar al-Bashir.