-
Waziri Mkuu wa Sudan aghadhabishwa na mkutano wa Burhan na Netanyahu
Feb 05, 2020 21:49Waziri Mkuu wa Sudan amekosoa vikali mkutano wa Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Juhudi za utawala haramu wa Israel za kutafuta washirika barani Afrika
Feb 05, 2020 03:25Ikiwa ni katika kuendeleza juhudi zake za kuwa na ushawishi na kutafuta washirika kwa minajili ya kutekeleza siasa zake za kivamizi, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu amekutana na kufanya mazungumzo mjini Entebe Uganda na Luteni Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan.
-
Kirusi cha Corona chafika Imarati, Taiwan na Sudan, idadi ya waliofariki dunia inaongezeka
Jan 29, 2020 10:45Kirusi hatari cha Corona kimeripotiwa kufika katika nchi za Imarati na Taiwan huku idadi ya watu wanaofariki dunia na kuambukizwa kirusi hicho ikiongezeka kwa kasi.
-
Wasudan wapinga kuwepo kwa raia wa nchi hiyo katika vita vya Libya na Yemen
Jan 26, 2020 02:28Wasudani wamepinga uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi nyingine na mikakati ya Abu Dhabi ya kuwataka raia wa kigeni wanaoishi Imarati wakiwemo Wasudani kushiriki katika vita na mapigano yanayoendelea huko Libya na Yemen.
-
Sudan yasaini makubaliano ya amani na kundi la waasi la SPLM-N
Jan 25, 2020 04:14Baraza la Utawala la Sudan limesaini mapatano ya awali ya amani na kundi moja la waasi, ikiwa ni juhudi za kurejesha utulivu nchini humo.
-
Mkuu wa Shirika la Usalama wa Taifa la Sudan afutwa kazi baada ya uasi
Jan 17, 2020 09:14Mkuu wa Shirika la Usalama wa Taifa la Sudan amefutwa kazi baada ya jaribio lililofeli la mapinduzi ambalo lilitekelezwa na maafisa kadhaa wa usalama
-
Jeshi la Sudan lazima uasi wa maafisa wa zamani wa utawala wa Al-Bashir
Jan 15, 2020 04:34Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema, anga ya nchi hiyo imefunguliwa tena na majengo yote ya Shirika la Intelijensia hivi sasa yanadhibitiwa na jeshi, kufuatia uasi uliofanywa na maafisa wa zamani wa usalama wa utawala wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Omar al-Bashir.
-
Mazungumzo kuhusu bwawa la al-Nahdha yavunjika nchini Ethiopia
Jan 11, 2020 01:20Wizara ya Maji ya Misri imetangaza kuwa, mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea huko Addis Ababa kati ya nchi hiyo, Ethiopia na Sudan kuhusiana na bwawa na al-Nahdha yamevunjika baada ya pande husika kushindwa kufikia makubaliano.
-
Serikali ya Sudan yatwaa mali za chama cha rais wa zamani wa nchi hiyo, al Bashir
Jan 09, 2020 04:32Serikali ya Sudan imetwaa mali za chama kilichovunjwa cha rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir kilichovunjwa na kupigwa marufuku nchini humo.
-
Ndege ya kijeshi yaanguka Darfur, Sudan na kuua watu 18
Jan 03, 2020 08:59Watu 18 wameaga dunia baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.