-
Watu 36 wauawa katika mapigao ya kikabila Darfur, Sudan
Jan 01, 2020 04:42Kwa akali watu 36 wameuawa katika mapigano ya kikabila yanayoendelea kushuhudiwa katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Jumatano, tarehe Mosi Januari, mwaka mpya wa 2020
Dec 31, 2019 23:12leo ni Jumatano tarehe 5 Jamadil Awwal mwaka 1441 Hijria sawa na Januari Mosi mwaka 2020
-
UNAMID yapongeza mapatano ya amani huko Darfur nchini Sudan
Dec 31, 2019 09:35Mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika AU wa kulinda amani Darfur Sudan UNAMID, umepongeza mpango wa makubaliano uliotiwa saini baina ya serikali ya mpito ya Sudan na kundi la wabeba silaha la Darfur linaloitwa Darfur Track.
-
Polisi 27 wa Sudan wahukumiwa kifo kwa hatia ya kumuua mwalimu
Dec 31, 2019 00:05Mahakama nchini Sudan imewahukumu adhabu ya kifo maafisa 27 wa polisi baada ya kupatikana na hatia ya kumtesa na kumuua mwalimu, Ahmad al-Khair.
-
Ripoti: Imarati inatumia mamluki wa Kisudani kuua raia na kufanya magendo ya binadamu Libya
Dec 27, 2019 07:44Taasisi moja ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu imelaani vikali hatua ya Umoja wa Falme wa Kiarabu (Imarati) ya kuwaajiri mamluki wa Kisudani wanaotumiwa kupigana bega kwa beba na mbabe wa kivita wa Libya, Jenerali Khalifa Haftar dhidi ya serikali iliyotambuliwa rasmi na jamii ya kimataifa.
-
Mji mkuu wa Sudan washuhudia maandamano makubwa
Dec 26, 2019 01:17Maelfu ya wananchi wa mji mkuu wa Sudan Khartoum jana waliandamana wakitaka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya kiuchumi na kupatikana uadilifu katika nchi hiyo.
-
Sudan na Sudan Kusini zaongeza muda wa mapatano ya mafuta hadi Machi 2022
Dec 24, 2019 23:26Sudan na Sudan Kusini zimeafikiana kuhusu kurefusha makubaliano ya mafuta na mapatano mengine husika ya kiuchumi hadi mwezi wa Machi mwaka 2022.
-
Maafisa 51 wa utawala wa al Bashir watiwa nguvuni Sudan kwa jinai za Darfur
Dec 24, 2019 03:43Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Sudan amewatuhumu maafisa 51 wa utawala ulioondolewa madarakani nchini humo kwamba walihusika na kesi kadhaa za uhalifu ikiwa ni pamoja na jinai dhidi ya binadamu katika eneo la Darfur.
-
Sudan yaondolewa kwenye orodha nyeusi ya Marekani
Dec 21, 2019 04:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeliondoa jina la Sudan kwenye orodha yake nyeusi ya nchi zinazokiuka uhuru wa kuamini.
-
Mapigano yaibua wimbi jipya la wakimbizi wa Sudan Kusini wanaoelekea Ethiopia
Dec 20, 2019 08:16Mapigano baina ya wanajeshi katika eneo la Maiwut la Sudan kusini yamesababisha wimbi jipya la wakimbizi kuingia katika jimbo la Gambella, Ethiopia.