Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Sudan yamteua mwanamke wa kwanza mkuu wa vyombo vya mahakama ili kupambana na ufisadi

    Sudan yamteua mwanamke wa kwanza mkuu wa vyombo vya mahakama ili kupambana na ufisadi

    Oct 10, 2019 23:45

    Sudan kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu jana ilimteua mwanamke kama mkuu wa vyombo vyake vya mahakama. Hayo yameelezwa na Baraza la Uongozi wa Mpito la nchi hiyo.

  • Sudan yazikosoa Saudia na Imarati kwa kushindwa kutekeleza ahadi zao za kifedha

    Sudan yazikosoa Saudia na Imarati kwa kushindwa kutekeleza ahadi zao za kifedha

    Oct 09, 2019 03:56

    Waziri wa Fedha wa Sudan amezikosoa Saudia na Imarati kwa kushindwa kutekeleza ahadi zao za kifedha kuihusu nchi hiyo.  

  • Maafisa wa utawala uliopinduliwa Sudan wafutwa kazi

    Maafisa wa utawala uliopinduliwa Sudan wafutwa kazi

    Oct 05, 2019 03:18

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ya Sudan amewafuta kazi maafisa 67 wa serikali ambao wanafungamana na utawala uliopinduliwa wa Omar al Bashir.

  • WHO, UNICEF zatia nia ya kuwalinda na kipindupindu watu milioni 1.6 nchini Sudan

    WHO, UNICEF zatia nia ya kuwalinda na kipindupindu watu milioni 1.6 nchini Sudan

    Oct 02, 2019 07:46

    Shirika la Afya Duniani (WHO) na lile la UNICEF yanashirikiana na maafisa wa Sudan kulinda usalama wa zaidi ya watu milioni moja na nusu kutokana na ugonjwa wa kipindupindu nchini humo.

  • Abdalla Hamdok asisitiza kuhitimishwa vurugu za ndani nchini Sudan

    Abdalla Hamdok asisitiza kuhitimishwa vurugu za ndani nchini Sudan

    Sep 28, 2019 23:01

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ya Sudan amesema kuwa, serikali yake inatoa kipaumbele juu ya suala la kuhitimishwa vurugu na machafuko ya ndani nchini humo na kuandaa mazingira mazuri ya kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

  • Sudan yaunda kamati ya kutafuta ukweli kuhusu mauaji ya waandamanaji

    Sudan yaunda kamati ya kutafuta ukweli kuhusu mauaji ya waandamanaji

    Sep 23, 2019 03:42

    Waziri Mkuu wa Sudan ametoa agizo la kuundwa kamati maalumu ya kutafuta ukweli kuhusu mauaji dhidi ya waandamanaji yaliyofanywa na vikosi vya usalama Juni mwaka huu.

  • Baraza la Utawala Sudan na waasi kufanya mazungumzo

    Baraza la Utawala Sudan na waasi kufanya mazungumzo

    Sep 12, 2019 07:11

    Mazungumzo ya amani baina ya Baraza la Utawala nchini Sudan na makundi ya waasi yamepangwa kuanza Oktoba 14 hadi mwezi Disemba ili kurejesha utulivu nchini humo.

  • Misri yataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan

    Misri yataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan

    Sep 10, 2019 02:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametaka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Sudan, akisisitiza kuwa serikali mpya ya kiraia ya Khartoum inahitaji uungaji mkono wa jamii ya kimataifa na sio kuendelea kuwekewa vikwazo na kutengwa.

  • UN: Mvua na mafuriko yameua watu 78 nchini Sudan

    UN: Mvua na mafuriko yameua watu 78 nchini Sudan

    Sep 08, 2019 07:45

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imesema kuwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha nchini Sudan yameua makumi ya watu.

  • Serikali mpya ya Sudan yaahidi kuwashughulikia mafisadi

    Serikali mpya ya Sudan yaahidi kuwashughulikia mafisadi

    Sep 06, 2019 22:08

    Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Sudan ameahidi kwamba, serikali yake itawashtaki na kuwapandisha kizimbani mafisadi wote na kwamba, haitakuwa na huruma katika hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS