Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Kutangazwa baraza jipya la mawaziri la Sudan; hatua nyingine kuelekea demokrasia

    Kutangazwa baraza jipya la mawaziri la Sudan; hatua nyingine kuelekea demokrasia

    Sep 06, 2019 22:02

    Baada ya kupita miezi kadhaa ya machafuko ya kisiasa nchini Sudan, hatimaye baraza jipya la mawazi la serikali ya mpito limetangazwa na hivyo kuchukuliwa hatua nyingine ya kivitendo ya kukabidhiwa madaraka kidemokrasia kutoka kwa wanajeshi.

  • Waziri Mkuu wa Sudan achagua mawaziri 14 wa baraza la kwanza la mawaziri tangu kupinduliwa al Bashir

    Waziri Mkuu wa Sudan achagua mawaziri 14 wa baraza la kwanza la mawaziri tangu kupinduliwa al Bashir

    Sep 03, 2019 22:55

    Waziri Mkuu wa Sudan amewaidhinisha mawaziri 14 wa baraza lake la mawaziri; ambao ni wa kwanza kuteuliwa tangu kupinduliwa utawala wa muda mrefu wa rais wa nchi hiyo Omar al Bashir mwezi Aprili mwaka huu.

  • Gavana wa zamani wa mji mkuu wa Sudan, Khartoum atorokea nje ya nchi

    Gavana wa zamani wa mji mkuu wa Sudan, Khartoum atorokea nje ya nchi

    Sep 02, 2019 08:46

    Maafisa wa Baraza la Utawala la Sudan wamesema, gavana wa zamani wa mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum ametorokea nje ya nchi.

  • Al Bashir akiri kupokea dola milioni 25 kutoka kwa mritihi wa ufalme wa Saudia

    Al Bashir akiri kupokea dola milioni 25 kutoka kwa mritihi wa ufalme wa Saudia

    Aug 31, 2019 10:32

    Rais wa zamani wa Sudan, Omar al Bashir amekiri mahakamani kuwa alipokea mamilioni ya dola kinyume cha sheria kutoka kwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman.

  • Waziri Mkuu wa Sudan achelewa kutangaza baraza la mawaziri

    Waziri Mkuu wa Sudan achelewa kutangaza baraza la mawaziri

    Aug 30, 2019 03:29

    Waziri mkuu mpya wa Sudan bado hajatangaza baraza lake jipya la mawaziri pamoja na kuwa alikuwa ametakiwa kuitangaza serikali yake kufikia jumatano.

  • Harakati ya Uhuru na Mabadiliko Sudan yawasilisha orodha ya wagombe wa nafasi za uwaziri

    Harakati ya Uhuru na Mabadiliko Sudan yawasilisha orodha ya wagombe wa nafasi za uwaziri

    Aug 27, 2019 08:56

    Harakati ya Uhuru na Mabadiliko nchini Sudan imewasilisha orodha ya majina ya wagombea wake wa nafasi za uwaziri katika serikali ya mpito ya nchi hiyo.

  • Watu 37 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan

    Watu 37 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan

    Aug 27, 2019 03:18

    Vyombo vya habari vya Sudan vimeripoti kuwa watu wasiopungua 37 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea mashariki mwa nchi hiyo.

  • Serikali mpya ya Sudan yaomba kusaidiwa kifedha

    Serikali mpya ya Sudan yaomba kusaidiwa kifedha

    Aug 25, 2019 03:26

    Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Sudan amesema kuwa, nchi hiyo inahitajia msaada wa kigeni wa dola bilioni nane kwa ajili ya kufufua uchumi wake.

  • Watu 54 wapoteza maisha katika mafuriko nchini Sudan

    Watu 54 wapoteza maisha katika mafuriko nchini Sudan

    Aug 23, 2019 22:24

    Watu wasiopungua 54 wamepoteza maisha kufuatia mvua kubwa na mafuriko nchini Sudan huku watu wengine wengi wakiathiriwa vibaya kote nchini na janga hilo la kimaumbile.

  • Serikali ya Mpito ya Sudan yatangaza vipaumbele vyake, amani na changamoto za kiuchumi zawekwa mbele

    Serikali ya Mpito ya Sudan yatangaza vipaumbele vyake, amani na changamoto za kiuchumi zawekwa mbele

    Aug 23, 2019 06:10

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ya Sudan ametangaza kuwa, serikali yake itatoa kipaumbele kwa masuala ya kusitisha vita, kuimarisha amani na kukabiliana na changamoto za kiuchumi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS