Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito Sudan ala kiapo

    Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito Sudan ala kiapo

    Aug 21, 2019 08:18

    Abdulfattah al Burhan Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito Sudan ambaye ana jukumu la kukabidhi madaraka kwa serikali ya kiraia amekula kiapo.

  • Hatimaye Baraza la Utawala wa Mpito laundwa nchini Sudan

    Hatimaye Baraza la Utawala wa Mpito laundwa nchini Sudan

    Aug 21, 2019 03:27

    Hatimaye Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan limeundwa baada ya miezi kadhaa ya maandamano na mivutano tangu alipoondolewa madarakani Omar Hassan al-Bashir.

  • Muungano wa upinzani nchini Sudan waafikiana kuhusu orodha ya wajumbe wake katika Baraza la Utawala

    Muungano wa upinzani nchini Sudan waafikiana kuhusu orodha ya wajumbe wake katika Baraza la Utawala

    Aug 20, 2019 22:08

    Hatimaye muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko nchini Sudan jana ulifikia makubaliano kuhusiana na orodha ya wajumbe wake watakaoungana na wale wa Baraza la Kijeshi la Mpito kwa ajili ya kuongoza Baraza la Utawala wa Mpito.

  • Al Bashir afichua siri, akiri kupokea rushwa ya mamilioni ya dola kutoka Saudia na Imarati

    Al Bashir afichua siri, akiri kupokea rushwa ya mamilioni ya dola kutoka Saudia na Imarati

    Aug 19, 2019 08:44

    Rais aliyeondolewa madarakani wa Sudan amekiri kwamba alipokea rushwa kutoka kwa Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia Muhammad bin Salman.

  • Sudan yaakhirisha kuvunja Baraza la Kijeshi la Mpito

    Sudan yaakhirisha kuvunja Baraza la Kijeshi la Mpito

    Aug 19, 2019 07:52

    Hatua ya kulivunja Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan ambayo ilikuwa itekelezwe leo, imeakhirishwa kwa muda wa masaa 48 yajayo.

  • Mrengo wa Waandamanaji Sudan watangaza majina ya wawakilishi wake katika Baraza la Utawala

    Mrengo wa Waandamanaji Sudan watangaza majina ya wawakilishi wake katika Baraza la Utawala

    Aug 18, 2019 22:14

    Muungano wa Uhuru na Mabadiliko unaowakilisha mirengo na makundi ya waandamanaji nchini Sudan umetangaza majina ya wawakilishi wake wanne katika Baraza la Utawala la nchi hiyo.

  • Kutiwa saini hati ya katiba nchini Sudan na mustakbali wa nchi hiyo

    Kutiwa saini hati ya katiba nchini Sudan na mustakbali wa nchi hiyo

    Aug 18, 2019 07:38

    Hatimaye baada ya kupita miezi minne tangu kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Sudan yaliyomuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Omar Hassan al-Bashir na kisha kuundwa Baraza la Kijeshi la Mpito, kumetiwa saini hati ya mwisho ya katiba ambayo inafungua uwanja wa kukabidhiwa madaraka ya nchi kwa utawala wa kiraia.

  • Wasudani wamkaribisha al Jubeir kwa laana na nara za

    Wasudani wamkaribisha al Jubeir kwa laana na nara za "mauti kwa Aal Saud"

    Aug 18, 2019 07:33

    Makumi ya raia wa Sudan wameukaribisha ujumbe wa Saudi Arabia katika sherehe ya kutia saini makubaliano ya mwisho ya kuunda serikali ya mpito kwa laana na nara za mauti kwa Saudi Arabia kutokana na sera za utawala wa Riyadh za kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Taarifa ya wapinzani Sudan kuhusu tarehe ya kuundwa serikali ya mpito

    Taarifa ya wapinzani Sudan kuhusu tarehe ya kuundwa serikali ya mpito

    Aug 15, 2019 21:59

    Muungano wa wapinzani nchini Sudan wa 'Uhuru na Mabadiliko' umetangaza kuwa, muundo wa kipindi cha mpito nchini humo utatekelezwa katika tarehe na muda ulioainishwa.

  • Njama ya mapinduzi ya jamaa wa al Bashir yagunduliwa Sudan

    Njama ya mapinduzi ya jamaa wa al Bashir yagunduliwa Sudan

    Aug 08, 2019 23:03

    Gazeti moja la Sudan limeripoti kuwa, watu wenye mfungamano na rais aliyeondolewa madarakani nchini huko wanatayarisha mpango wa kufanya mapinduzi katika sikukuu ya Idul Adh'ha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS