Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Machafuko yasababisha kufungwa shule nchini Sudan

    Machafuko yasababisha kufungwa shule nchini Sudan

    Jul 31, 2019 03:45

    Muhyiddin al Jaali Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Malezi ya Sudan ameagiza kufungwa shule kote nchini humo baada ya kuuawa wanafunzi kadhaa katika maandamano ya Jumatatu wiki hii.

  • Kuendelea uingiliaji wa kigeni nchini Sudan

    Kuendelea uingiliaji wa kigeni nchini Sudan

    Jul 30, 2019 23:09

    Huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea nchini Sudan, uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo umeongezeka kwa kadiri kwamba baadhi ya nchi za eneo zikiongozwa na Saudi Arabia zinafuatilia kwa nguvu zao zote suala la kuwa na ushawishi mkubwa katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Waandamanaji watano wakiwemo wanafunzi wauawa nchini Sudan

    Waandamanaji watano wakiwemo wanafunzi wauawa nchini Sudan

    Jul 30, 2019 03:13

    Waandamanaji watano wakiwemo wanafunzi wanne wameuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya jana nchini Sudan.

  • Wananchi wa Sudan waandamana kulalamikia ripoti ya mauaji ya Juni 3 mwaka huu

    Wananchi wa Sudan waandamana kulalamikia ripoti ya mauaji ya Juni 3 mwaka huu

    Jul 28, 2019 07:30

    Wananchi wa Sudan wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum kulalamikia ripoti ya Kamati ya Kutafuta Ukweli kuhusu mauaji yaliyotokea nchini humo tarehe 3 ya mwezi uliopita wa Juni.

  • Baraza la kijeshi la uongozi wa mpito Sudan laahidi kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa

    Baraza la kijeshi la uongozi wa mpito Sudan laahidi kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa

    Jul 28, 2019 02:59

    Baraza la kijeshi la uongozi wa mpito la Sudan limetangaza kuwa limeamua kuwaachia huru wafungwa wote wa kisiasa wenye mfungamno na Muungano wa Uhuru na Mabadiliko wa nchini humo.

  • Sudan yasambaratisha jaribio la mapinduzi; yawatia mbaroni maafisa kadhaa wa jeshi

    Sudan yasambaratisha jaribio la mapinduzi; yawatia mbaroni maafisa kadhaa wa jeshi

    Jul 25, 2019 06:34

    Jeshi la Sudan limesema kuwa limesambaratisha jaribio la mapinduzi na kuwatia nguvuni maafisa kadhaa wa ngazi ya juu jeshini kwa kuhusika na njama hiyo iliyokusudiwa kukirejesha uongozini chama cha Omar al Bashir, rais wa Sudan aliyeng'olewa madarakani.

  • Mazungumzo baina ya mahasimu wa Sudan yapiga hatua nzuri

    Mazungumzo baina ya mahasimu wa Sudan yapiga hatua nzuri

    Jul 24, 2019 02:10

    Mazungumzo baina ya Muungano wa Uhuru na Mabadiliko na kundi la wanajeshi wanaotawala Sudan yameripotiwa kupiga hatua kubwa katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.

  • Al Mahdi atahadharisha kuhusu uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya Sudan

    Al Mahdi atahadharisha kuhusu uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya Sudan

    Jul 21, 2019 02:51

    Mkuu wa chama cha Umma nchini Sudan ametahadharisha kuhusiana na uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema nchi hizo haziitakie mema Sudan.

  • Baraza la kijeshi Sudan: Katu hatutamkabidhi Al-Bashir kwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Baraza la kijeshi Sudan: Katu hatutamkabidhi Al-Bashir kwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Jul 20, 2019 08:39

    Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Sudan amesema, baraza hilo katu halitamkabidhi rais wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani Omar Hassan al Bashir kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Kikao cha hati ya pili ya Katiba ya Sudan chaakhirishwa

    Kikao cha hati ya pili ya Katiba ya Sudan chaakhirishwa

    Jul 19, 2019 03:04

    Muungano wa Uhuru na Mabadiliko wa Sudan umesema kuwa, kikao cha kujadili hati ya pili ya Katiba ya nchi hiyo kimeakhirishwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS